Naipongeza Argentina ya Lionel Messi kwa kufikia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

Kijana wangu naomba ukiona wachambuzi tunapoandika uwe unasoma kwa utulivu badala ya kutoa matamko mepesi. Argentina ndio mabingwa wa kombe la dunia mwaka 2022
 
Mshindi wa KOMBE la dunia mwaka huu anaweza kuwa suprise watu ....

Croatia Mimi nawatakia lililojema
 
Kizingiti kimoja kwa Argentina kimeondoka nacho ni Brazil hata Messi alikiri hilo..so kwa sasa imebaki France...kila la heri
 
Coach wetu (Scalloni) anauwalakin kwenye kufanya sub kabisa, game ya jana zile sub za Acuńa,De Paul na Álvarez.

Ndiyo zilichange game kabisa, ilikuwa shughuli imalizike 90.

Pia hata ile game Ausi, sub zake zilizingua dkk za mwisho.

All in all, tumepita kibingwa.

VAMOOOSSS ARGENTINA!![emoji1033][emoji1033][emoji1033]

Leo is my Goat🤍[emoji171]

[emoji238]….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…