Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
- Thread starter
- #61
Kijana wangu naomba ukiona wachambuzi tunapoandika uwe unasoma kwa utulivu badala ya kutoa matamko mepesi. Argentina ndio mabingwa wa kombe la dunia mwaka 2022ndio maana nakwambia hujui mpira
mpira umebadilika sana sio kama unavyofikiria
Kama haujui mimi ni shabiki wa Messi sana
ila ili uchukue ubìngwa unahitaji akina de paul wengi kuliko akina di maria na lautaro
watu wataokimbia dk 90 bila kuchoka bila kutegea
hao wabrazili wakikutana na timu iliyosetiwa vizuri hawatoki jino moja
kama uliwaona uswizi ilibidi watu wokoe jahazi kutoka nyuma
mchezaji bora kwa argentina muda huu ni de paul