Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Hiyo kodi ipo kitambo sana, TRA huwa wanawa-tight sana wale wanaofungua biashara kwa kuwataka kuleta mkataba wa upangishaji ili wakate chao ambacho 10% pamoja na zile nyumba zinazopangisha makampuni na mashirika maana mashirika na makampuni mengi lazima yataomba receipt hivyo lazima mkataba utaonyesha na kodi.
Kwa makazi wameamua kupotezea kiaina maana wame-assume kama support kwa Watanzania wanyonge maana ukiwa-bana wapangishaji watakaoumia ni wapangaji
Kwa makazi wameamua kupotezea kiaina maana wame-assume kama support kwa Watanzania wanyonge maana ukiwa-bana wapangishaji watakaoumia ni wapangaji