Naipongeza Serikali kwa kufanikisha zoezi la ukusanyaji kodi za majengo kwa njia ya simu

Naipongeza Serikali kwa kufanikisha zoezi la ukusanyaji kodi za majengo kwa njia ya simu

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau!

Jana nimeweza kulipa kodi ya jengo kupitia simu ya mkononi baada ya kununua umeme kupitia luku yangu.

Binafsi naipongeza sana serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia rais Samia Hassan,pongezi za kipekee ziende kwa waziri wa fadha Dr Mwigulu Lamack Nchemba Madelu pasipo kumsahau na mheshimiwa Zungu a.k.a mzee wa TOZO.

Huu ni ubunifu mkubwa sana ambao kupata kufanywa na serikali yetu maana umewaondolea wananchi adha ya usumbufu.

Naamini katika nchi hii chini ya utawala wa SSH hakuna aliye juu ya sheria, naamini pia serikali itaakikisha ardhi ya mwananchi itaenda kulindwa zidi ya hawa wanaojiita wawekezaji wasiopenda kufuata sheria na taratibu za nchi. Wanaotaka kuchafua heshima ya utawala wa haki na sheria aliojijengea rais wetu Samia Hassan katika kipindi hiki kifupi cha utawala wake.

Tunaomba Serikali izitoleee macho hizi kampuni zinazoongozwa na hawa vijana wa vigogo wastaafu wa serikali wakishirikiana na na baadhi ya watumishi wasio waaminifu wa baadhi ya halmashauri katika kutapeli maeneo ya wananchi.
 
Habari wadau!

Jana nimeweza kulipa kodi ya jengo kupitia simu ya mkononi baada ya kununua umeme kupitia luku yangu.

Binafsi naipongeza sana serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia rais Samia Hassan,pongezi za kipekee ziende kwa waziri wa fadha Dr Mwigulu Lamack Nchemba Madelu pasipo kumsahau na mheshimiwa Zungu a.k.a mzee wa TOZO.

Huu ni ubunifu mkubwa sana ambao kupata kufanywa na serikali yetu ,maana umewaondolea wananchi adha ya usumbufu.

Naamini katika nchi hii chini ya utawala wa SSH hakuna aliye juu ya sheria,naamini pia serikali itaakikisha ardhi ya mwananchi itaenda kulindwa zidi ya hawa wanaojiita wawekezaji wasiopenda kufuata sheria na taratibu za nchi. Wanaotaka kuchafua heshima ya utawala wa haki na sheria aliojijengea rais wetu Samia Hassan katika kipindi hiki kifupi cha utawala wake.

Tunaomba Serikali izitoleee macho hizi kampuni zinazoongozwa na hawa vijana wa vigogo wastaafu wa serikali wakishirikiana na na baadhi ya watumishi wasio waaminifu wa baadhi ya halmashauri katika kutapeli maeneo ya wananchi.
Ulaaniwe wew na vizazi vyako.
 
Back
Top Bottom