Naipongeza TCRA kwa kumkomesha Polepole and the Likes: Massage sent!

Waswahili husema ukimchekea sana Mbwa itakuja siku atakufata msikitini. Haiwezekani mtu yuleyule aliyeaminiwa na mamlaka akapewa nafasi za uongozi ktk ngazi kubwa za utawala akaanza kubwabwaja hovyo huku akikejeli mamlaka iliyoko madarakani kwa kujidai ati anaishauri
Naunga mkono hoja.
Chakubanga ni mnafiki tena apewe adhaba kali zaid ya hiyo yaani tuchague wabunge kwa nguvu kubwa namna ile Afu aje ageuke awanunue kwa kisingizio cha demkrasia ina gharama?
 
Kumbe PolePole alikuwa tishio hivi?

Nimeanza kumisi darasa lake. Naamini atakuja tweeter tupige story.
 
Ktk vitu ambavyo intelijensia haijachukulia mzaha ni pamoja na swala la Polepole. Hata kama mlichelewa kumfumba mdomo lakini atleast mmejaribu.

Huyu Polepole tungemchekea mwisho wa siku tungevuna mabua

Waswahili husema ukimchekea sana Mbwa itakuja siku atakufata msikitini. Haiwezekani mtu yuleyule aliyeaminiwa na mamlaka akapewa nafasi za uongozi ktk ngazi kubwa za utawala akaanza kubwabwaja hovyo huku akikejeli mamlaka iliyoko madarakani kwa kujidai ati anaishauri

Ni jambo gani alishindwa kushauri serikali wakati akiwa ni kiongozi wa juu ambalo ataweza sasa??

Ktk siasa za duniani kuna kitu kinaitwa Disloyalty, Ni kitu hatari sana. Kikiachwa kikamea kinaweza kuiangusha nchi na taifa kwa ujumla.

Hebu tujiulize maswal kidogo, Kama Polepole alikuwa anaushawishi kati ya watanzania wengi kiasi hiki kwa kutoa maoni na taarifa za uongo tunajuaje kama vile vyombo vingine pia havimwamini na kumfata??

Je vile vyombo vikigawanyika na upande wenye nguvu ukamuunga mkono( vikawa Loyal) mnajua nini kinaweza kutokea..

Political loyalty aliyotaka kuzalisha ilikuwa kwanza kugain Support kutoka kwa Wananchi( civic loyalty) huku chini ya kapeti aki creat( ku-renew) Political Loyalty kutoka kwenye vyombo vyenye nguvu.

TCRA ni wakupongezwa. Tukumbuke kikinuka hakuna atayebaki salama.

Hongera TCRA kwa kazi nzuri. Ujumbe umefika.

Umewakata viromo romo.
Ccm wote wahuni
 
Stupidity mentality to rejoice on the nonsense blackout action against someone expressing his freedom of speech as others do
 
Rubbish
 
Why freedom of speech now? what happened? Think of freedom situation 1yr back? how could your comment look like in the matter?
 
Naunga mkono hoja.
Chakubanga ni mnafiki tena apewe adhaba kali zaid ya hiyo yaani tuchague wabunge kwa nguvu kubwa namna ile Afu aje ageuke awanunue kwa kisingizio cha demkrasia ina gharama?
😅😅😅nadhani hii inaweza kuwa kubwa sana kwake mithiri ya kumuua. Maana anaishi kwa kubwabwaja ndio kunamweka mjini
 
Back
Top Bottom