Nairobi Babalao

Nairobi Babalao

Wakiambiwa Nairobi sio level yao huaga wanalialia..
Video ya juzi tu hiyo, bundles zako ndio zita determine kuujua ukweli..
Povu ruksa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa alieangalia hii video yote kama Mimi,Hakuna kitu cha maana zaidi ya utulivu apo...lockdown kiboko...iyo city mnairemba sana na maneno haina kitu cha kushtua kabisa...Mimi nimeongea ukweli tu..

Dual carriageway from Westlands through CBD to Kilimani Sio Kama hizo Zenu CBD mnapishana na bado Nje Ya Dar ni kupishana tu...Mimi naongea ukweli tu...
 
Baada ya kupwaya sana kwenye battle sasa naona mnatapa tapa na uharo mwingine huku. Simba aliyelala anapoamka nani anayeleta fyokofyoko? The once sleeping giant is now roaring in east africa.
 
kama Arusha ati kufikia DSM bado nyie sana asee
 
Moderator please ondoeni hii thread hapa haina kazi tena inajaza server zenu tu. OMBI
 
Back
Top Bottom