tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Kwa alieangalia hii video yote kama Mimi,Hakuna kitu cha maana zaidi ya utulivu apo...lockdown kiboko...iyo city mnairemba sana na maneno haina kitu cha kushtua kabisa...Mimi nimeongea ukweli tu..Wakiambiwa Nairobi sio level yao huaga wanalialia..
Video ya juzi tu hiyo, bundles zako ndio zita determine kuujua ukweli..
Povu ruksa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app