Unawezaje kulinganisha hivyo viti vyenu vibovu na vyetu kutoka Spain? Wewe wacha mchezo. Leta ligi kwenye vitu vingine lakini sio kwenye DMU hata kama yetu ni second hand. Wewe unajua second hand mercedes benz inauzwa bei ghali hata kushinda models fulani ya toyota mpya?Angalia mpangilio wa seat za behewa la locomotive yetu ya mgr vile zinaonekana smart, juu ni kiyoyozi km kawa [emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1611670
Lakini kazi inafanyika kwenye ground. Hio ndio muhimu. Zamani tulikuwa tunaibiwa na hakuna kitu kinachofanyikaKwa kenya mradi kama huu 80% imeibiwa the rest ndio inaenda kwa kazi..kenya mnaiba jameni
Yeah especially the one from norreport to vestamagerThis reminds me so much of the interior of the dsb commuter trains in denmark.
Hebu weka really picha yake tuone ndani vile inakaa na co picha feki aliyoweka mwenzio juu apo.Unawezaje kulinganisha hivyo viti vyenu vibovu na vyetu kutoka Spain? Wewe wacha mchezo. Leta ligi kwenye vitu vingine lakini sio kwenye DMU hata kama yetu ni second hand. Wewe unajua second hand mercedes benz inauzwa bei ghali hata kushinda models fulani ya toyota mpya?
punguza wasi wasi, hii sio hizo basi za kunguni na chawa. Hii ni commuter rail. Vitu mbili tofauti sana.Hebu weka really picha yake tuone ndani vile inakaa na co picha feki aliyoweka mwenzio juu apo.
punguza wasi wasi, hii sio hizo basi za kunguni na chawa. Hii ni commuter rail. Vitu mbili tofauti sana.
i) Phase 1 ambayo ndiyo hii inafanyiwa testing ni 200 km ndani ya nairobi iko na 5 lines. Yani treni itakuwa ikipita baada ya kila 1 hour.
ii) Phase 2 itakayoanza kujengwa 2021 itakuwa 150 km ikiwemo direct line kutoka JKIA mpaka kati kati ya mji. itakuwa na 4 lines
iii) Phase 3 nayo itaongeza 200 km kuunganisha town za nje kama ongata rongai, ruai, kangundo ndani ya nairobi metropolitan commuter rail. Itakuwa na 4 lines
iv) Hizi tatu zikiisha watafanya double track ili treni ziwe zinapita baada ya kila dakika 20.
View attachment 1612407 View attachment 1612409
Najua Tanzania commuter rail ni vision 2040, kwa sahi endeleeni kung'ang'ana na kunguni kupata nafasi ndani ya basi
Mulianza na hiyo wimbo ya ndoto. sahi imekuwa reality mumeanza kuwa na wasi wasi. Niliwaambia BRT haiwezani na Nairobi, nairobi inataka commuter rail. BRT tunaachia watu wanao anza na miundo mbinu ya chini.Wakenya mnapenda sana virtual world life aka fantasy life.
Hakuna reality yoyote hapo.
BRT ni duni kabisa enda ujerumani,denmark, hata new york uone kama kuna BRT. Wote wanatumia commuter rail siyo vitu vya kubeba chawa na kuguni. BRT yenyu kwanza mmeshindwa kumaliza phase 2, mtawezana na commuter rail ya 5 lines? Wakati nairobi inaweka reli ya commuter nyinyi mmeshindwa kuweka hata 100 km ya BRT.[emoji28][emoji28][emoji28]hakika pumzi imewakata aise.
hamkuwahi kushikia bango vitu vidogo kama hivi.
kevin,serious unalinganisha hii na brt au tz sgr????
kwangu mimi niwasifu mmepiga hatua,ila kuilinganisha na BRT au SGR yetu ni kukosa umakini.
Mulianza na hiyo wimbo ya ndoto. sahi imekuwa reality mumeanza kuwa na wasi wasi. Niliwaambia BRT haiwezani na Nairobi, nairobi inataka commuter rail. BRT tunaachia watu wanao anza na miundo mbinu ya chini.
BRT ni duni kabisa enda ujerumani,denmark, hata new york uone kama kuna BRT. Wote wanatumia commuter rail siyo vitu vya kubeba chawa na kuguni. BRT yenyu kwanza mmeshindwa kumaliza phase 2, mtawezana na commuter rail ya 5 lines? Wakati nairobi inaweka reli ya commuter nyinyi mmeshindwa kuweka hata 100 km ya BRT.
COVID mbona Wameiba sana Kemsa wale Kampuni hewa nyingiLakini kazi inafanyika kwenye ground. Hio ndio muhimu. Zamani tulikuwa tunaibiwa na hakuna kitu kinachofanyika
Endeleeni na ujinga wa mitumba cc tuko level nyingine kabisa kwa ss, yn unajisifia madude ya mwaka 70[emoji3][emoji3][emoji3]punguza wasi wasi, hii sio hizo basi za kunguni na chawa. Hii ni commuter rail. Vitu mbili tofauti sana.
i) Phase 1 ambayo ndiyo hii inafanyiwa testing ni 200 km ndani ya nairobi iko na 5 lines. Yani treni itakuwa ikipita baada ya kila 1 hour.
ii) Phase 2 itakayoanza kujengwa 2021 itakuwa 150 km ikiwemo direct line kutoka JKIA mpaka kati kati ya mji. itakuwa na 4 lines
iii) Phase 3 nayo itaongeza 200 km kuunganisha town za nje kama ongata rongai, ruai, kangundo ndani ya nairobi metropolitan commuter rail. Itakuwa na 4 lines
iv) Hizi tatu zikiisha watafanya double track ili treni ziwe zinapita baada ya kila dakika 20.
View attachment 1612407 View attachment 1612409
Najua Tanzania commuter rail ni vision 2040, kwa sahi endeleeni kung'ang'ana na kunguni kupata nafasi ndani ya basi
China mbn hujaitaja apo[emoji3][emoji3][emoji3]Mulianza na hiyo wimbo ya ndoto. sahi imekuwa reality mumeanza kuwa na wasi wasi. Niliwaambia BRT haiwezani na Nairobi, nairobi inataka commuter rail. BRT tunaachia watu wanao anza na miundo mbinu ya chini.
BRT ni duni kabisa enda ujerumani,denmark, hata new york uone kama kuna BRT. Wote wanatumia commuter rail siyo vitu vya kubeba chawa na kuguni. BRT yenyu kwanza mmeshindwa kumaliza phase 2, mtawezana na commuter rail ya 5 lines? Wakati nairobi inaweka reli ya commuter nyinyi mmeshindwa kuweka hata 100 km ya BRT.
km huna basi jua huna usilete upuuzi wa kuanza kulinganisha BRT na huo ushuzi wenu wa mitumba, here under is just a part of brt system in UK[emoji116][emoji116]Mulianza na hiyo wimbo ya ndoto. sahi imekuwa reality mumeanza kuwa na wasi wasi. Niliwaambia BRT haiwezani na Nairobi, nairobi inataka commuter rail. BRT tunaachia watu wanao anza na miundo mbinu ya chini.
BRT ni duni kabisa enda ujerumani,denmark, hata new york uone kama kuna BRT. Wote wanatumia commuter rail siyo vitu vya kubeba chawa na kuguni. BRT yenyu kwanza mmeshindwa kumaliza phase 2, mtawezana na commuter rail ya 5 lines? Wakati nairobi inaweka reli ya commuter nyinyi mmeshindwa kuweka hata 100 km ya BRT.
Nyie hamna commuter rail na sisi hatuna BRT. Kubali yaishe.km huna basi jua huna usilete upuuzi wa kuanza kulinganisha BRT na huo ushuzi wenu wa mitumba, here under is just a part of brt system in UK[emoji116][emoji116]View attachment 1612514View attachment 1612515View attachment 1612516
Sisi tunajenga BRT, hao hawana commuter rail. Make it as simple as that.Nyie hamna commuter rail na sisi hatuna BRT. Kubali yaishe.
Nani alikudanganya old model inaizidi Toyota mpya bei...?? Labda uko Kenya...Unawezaje kulinganisha hivyo viti vyenu vibovu na vyetu kutoka Spain? Wewe wacha mchezo. Leta ligi kwenye vitu vingine lakini sio kwenye DMU hata kama yetu ni second hand. Wewe unajua second hand mercedes benz inauzwa bei ghali hata kushinda models fulani ya toyota mpya?
Sisi tunajenga BRT, hao hawana commuter rail. Make it as simple as that.
Ndivyo mnavyojidanganya, hii mambo tumeanza kitambo inaitwa treni ya Mwakiembe, ckia tony na Wakenya wenzako ni kwamba hakuna infrastructure mnayo cc tukakosa ila kuna infrastructure cc tunazo nyinyi hamna, ofcz inauma ila inabidi mzoee ukweli huu[emoji3][emoji3][emoji3]Nyie hamna commuter rail na sisi hatuna BRT. Kubali yaishe.
Dar hakuna commuter rail..?? Are you serious...??Nyie hamna commuter rail na sisi hatuna BRT. Kubali yaishe.
Hata bembea kubwa ya watoto mnayo?Ndivyo mnavyojidanganya, hii mambo tumeanza kitambo inaitwa treni ya Mwakiembe, ckia tony na Wakenya wenzako ni kwamba hakuna infrastructure mnayo cc tukakosa ila kuna infrastructure cc tunazo nyinyi hamna, ofcz inauma ila inabidi mzoee ukweli huu[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1612562