punguza wasi wasi, hii sio hizo basi za kunguni na chawa. Hii ni commuter rail. Vitu mbili tofauti sana.
i) Phase 1 ambayo ndiyo hii inafanyiwa testing ni 200 km ndani ya nairobi iko na 5 lines. Yani treni itakuwa ikipita baada ya kila 1 hour.
ii) Phase 2 itakayoanza kujengwa 2021 itakuwa 150 km ikiwemo direct line kutoka JKIA mpaka kati kati ya mji. itakuwa na 4 lines
iii) Phase 3 nayo itaongeza 200 km kuunganisha town za nje kama ongata rongai, ruai, kangundo ndani ya nairobi metropolitan commuter rail. Itakuwa na 4 lines
iv) Hizi tatu zikiisha watafanya double track ili treni ziwe zinapita baada ya kila dakika 20.
View attachment 1612407 View attachment 1612409
Najua Tanzania commuter rail ni vision 2040, kwa sahi endeleeni kung'ang'ana na kunguni kupata nafasi ndani ya basi