Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
model ya viti vyenu kwanza ni ya short distance travel!Unawezaje kulinganisha hivyo viti vyenu vibovu na vyetu kutoka Spain? Wewe wacha mchezo. Leta ligi kwenye vitu vingine lakini sio kwenye DMU hata kama yetu ni second hand. Wewe unajua second hand mercedes benz inauzwa bei ghali hata kushinda models fulani ya toyota mpya?