The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Nilitaka nikuite ila bora umekuja mkuu kuna mtu apo juu anaongelea majengo nikaona hii mada yako hii na ulishawahi kumpiga mtu kipigo cha mbwa koko kule kwenye thread yetu pendwa [emoji3][emoji3]yani unaongea bila aibu kabisa bro[emoji23][emoji23]