Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

C ndo hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1612568
I`ll engage you the day I`m free, for now take this.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji121] [emoji121][emoji121]
 
 
Hio hamna. Kubali yaishe. Usilete vile viplastiki mliokuwa mnaleta hapa.
Alafu basi zenyewe ni kama ni kufuga ndiyo wanafuga kunguni na chawa. Hawa watu wako nyuma sana kimaendeleo ndiyo sababu IMF an world bank bado inawaeka katika LDC.
 
Yani umepanic mpaka unaleta treni za 1962 ambazo kenya iko nazo mingi kushinda Tanzania. Juha kalulu kabisa. Watu tunaongea commuter rail siyo nyumba za kunguni na chawa.
 
Watanzania muone jinsi watu wanafaa kusafiri katika global city. BRT hiyo ni ya miji ambayo bado haijastawi. Mji kama Dar, mombasa inaipiga teke kwa miundo mbinu, itawezana na Nairobi? Nairobi ni global city, dar ni city tu.
View attachment 1612982
yafaa by the way mtu atu update about the progress of the BRT uko thika ..last week nilikua uko area za safari park apo kwa foot bridge and they have started construction and its progressing well
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…