Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

look directly into the mirror, you will see the desperate person..the person using words only but not a single shred of evidence.a guy hoping and praying something happens..but till then,only the word of mouth can boost his ego
Tuki..... Tuta.....[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1604993621464.jpeg
tapatalk_1604770717432.jpeg
 
hii ndio inaitwa slow but sure...polepole tu tunasonga.hatukurupuki kama jamaa fulani ambao wanajenga reli miaka minne
Hahahaaa reli yetu ni the longest pengine kuliko zote Afrika so usitegemee itachukua tu 4 yrs, no itachukua muda mrefu zaidi ya 4yrs[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yani tumemaliza sgr ya over 700km track length na over thirty train stations, 200 km ya commuter rail na 25 commuter train stations na wenzetu wa kusini hata 200 km ya kwanza bado wanahangaika hii ni mwaka ya 4. Tuko mbioni kumaliza 27 km ya elevated highway wenzetu kusini barabara ya 19 km imewashinda kumaliza sasa ni mwaka ya tatu.
Ukweli ni kwamba ule mtu aliroga Tanzania, alikufa. Yani hawa watu hakuna kitu wanaeza fanya vizuri.
 
Hv hii kitu ilikuwa kwenye mpango wa kununuliwa au ni panic buy.
DMU utaifanyia panic buying wapi? Unadhani DMUs zinapatikana virahisi? Unadhani kununua DMU ni kama kununua mandazi dukani? Hii kitu hata kama ni mtumba lazima uagize halafu ungoje zaidi ya mwaka moja ili iwe refurbished.
 
Back
Top Bottom