Ikiwa 200 km ya kwanza hamjamaliza, hakuna train station imeisha hata train zenyewe bado hamjui ni gani!!!!. Mulijipiga kifua ati mwaka jana mwezi wa june mtakuwa na sgr. Kwanza mkaanza kulaumu mvua, kisha mamba. sasa naona mko kwa hali ya kubomoa madaraja ya sgr hapo dar. Kwei Hapo Tanzania ni kazi tu, kazi ya ndoto na uchawi.
Ila huku sisi tumemaliza sgr ya 700km+ iliyo na stesheni kubwa na nyingi kuliko hayo mabanda ya ng'ombe yenye bado mmeshindwa kumaliza. Tumeshaanza kutumia phase 1 ya 200 km commuter rail nyinyi bado mko kwa basi na sgr phase 1 bado ni ndoto.