Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
- Thread starter
-
- #681
Naona leo chawa na kunguni zimefyonza damu ya kutosha kwenye hio brt!! Umeingia ukiwa na maumivu mengi sana.Kwahyo hapa ndo umemaliza, wallahi elimu haijawahi kumsaidia mkenya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwmb mlijenga reli kwa ajili ya commuter train au mnatumia reli ile ile ya mkoloni? Nyie ni wapumbavu sn, ss kwa taarifa yenu Tz ndiyo nchi pekee EA inayo plan kujenga reli mpya ya kisasa kwa ajili ya commuter train yn jiji zima la Dar litakuwa limejaa miundombinu ya reli za kisasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Je uliskia Nairobi sasa ndio mji wa pili africa kuwa na commuter rail ndefu ikifata joburg? Alafu uliskia baada ya phase iii, Nairobi itakuwa mji ya kwanza africa nzima kwa commuter rail?
A person who does not know even the basics of how trains are classified is not one worth even debating about. Especially one from a nation using a class of rail whose inferiority is only matched by the one in MauretaniaAnajua kucheza nao kinoma,
Ni kama tu walivyo oneshwa picha za treni wanazoletewa kipindi kile halafu mwisho wa siku wakaletewa mitungi ya changaa wanaziita "Chinese first class" [emoji23][emoji23][emoji23]
Inabidi mtumie nguvu nyingi kupigia debe hiyo mitumba maana hakuna namna sasa.A person who does not know even the basics of how trains are classified is not one worth even debating about. Especially one from a nation using a class of rail whose inferiority is only matched by the one in Mauretania
Huyu dada wa mbele ukimzoom amefanana na plier
Dah wanatia huruma kwa kweli, wenzenu hapo ndo wanazindua [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyu dada wa mbele ukimzoom amefanana na plier View attachment 1623744
Kwani tofauti ni gani kama nyie mtatumia reli mpya ifikapo mwaka wa 2030 na sisi tunaotumia reli nzee 2020? Reli ni reli , chuma ni chuma. Huko Britain kuna baadhi ya sehemu bado wanatumia reli iliyojengwa 19th century na hawajaifumua. Sasa leo kwa mara ya kwanza nimeona mtu akiringa eti reli yao itakuwa mpya kishinda ya jirani yake. Afadhali uringe kuhusu treni lakini sio reli. Reli ni chuma tu na ikizeeka inafanyiwa repair. Hata Marekani hawajaunda reli mpya kwa miaka zaidi ya mia moja. Wao waliunda reli yao 19th century au hata mapema zaidi na bado hawajaunda standard gauge railway na pia wana chini ya kilomita 500 ya electric railway. Sasa watu wengi huwa wanacheka Marekani kwamba hana reli ya SGR lakini Marekani anajibu kwamba hana haja ya kujenga SGR ikiwa tayari ana reli na reli hiyo inafanya kazi vizuri tu. Sasa reli za ulaya nyingi ni nzee na hawajazifumua. Sasa wewe unakuja hapa kututambia eti "reli yetu itakuwa mpya?" wacha kushangaza watu. Reli ni vyuma tu sasa unatambia nini hapo? Afadhali ningekuelewa kama ungesema treni yenu itakuwa mpya.Kwmb mlijenga reli kwa ajili ya commuter train au mnatumia reli ile ile ya mkoloni? Nyie ni wapumbavu sn, ss kwa taarifa yenu Tz ndiyo nchi pekee EA inayo plan kujenga reli mpya ya kisasa kwa ajili ya commuter train yn jiji zima la Dar litakuwa limejaa miundombinu ya reli za kisasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ile yenyu iliyokwama bado haija isha? Yetu iko kichakani na inafanya kazi yenyu naskia bado mamba wameshikia magu ngumu mpaka sasa ameamua kubomoa daraja za dar.Ile reli yao inayoishia kichakani inaendeleaje? Bado iko pale pale kichakani?
BRT imewashinda kumaliza bado imekwama phase 2, Bara bara ya 19 km imewashinda sasa ni mwaka ya tatu, sgr imewashinda mmeanza shughuli za kubomoa madaraja. Commuter rail hamtawezana nayo nyinyi ligi yenyu ni basi ambazo pia mumekwama phase 2, hiyo ndiyo world bank waliona imewatosha.Kwmb mlijenga reli kwa ajili ya commuter train au mnatumia reli ile ile ya mkoloni? Nyie ni wapumbavu sn, ss kwa taarifa yenu Tz ndiyo nchi pekee EA inayo plan kujenga reli mpya ya kisasa kwa ajili ya commuter train yn jiji zima la Dar litakuwa limejaa miundombinu ya reli za kisasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
BRT imewashinda kumaliza bado imekwama phase 2, Bara bara ya 19 km imewashinda sasa ni mwaka ya tatu, sgr imewashinda mmeanza shughuli za kubomoa madaraja. Commuter rail hamtawezana nayo nyinyi ligi yenyu ni basi ambazo pia mumekwama phase 2, hiyo ndiyo world bank waliona imewatosha.
Mbona sijaona ulipojibu swali?Ile yenyu iliyokwama bado haija isha? Yetu iko kichakani na inafanya kazi yenyu naskia bado mamba wameshikia magu ngumu mpaka sasa ameamua kubomoa daraja za dar.
BRT ni kujaribu ku copy commuter rail ambayo mmeshidwa mmebaki tu na 21 km. Huku sisi tuko kwenye commuter train sio copycat ya basiBRT ni ndoto nyingine ya kutisha (nightmare)kwa wakenya kama wewe[emoji23][emoji23][emoji23].
commuter unayozungumzia ni gani,kama kazi iliyopo ni kununua locomotives mtumba na kupaka rangi kama mlivyofanya[emoji23][emoji23]
tukitaka hiyo hata kesho mtaziona zikiwa na bendera ya tz,na hatutaji hiyo.
swali la kijinga linajibiwa hivyo. Je unajua MGR yetu inabeba mizigo mingi kwa mwezi moja kuliko mizigo Tazara imebeba kwa miaka 50?Mbona sijaona ulipojibu swali?