Nairobi is twice richer than Dar and only $6bn dollars away from reaching Tz GDP.

Kusema tu ukweli Nairobi ndiyo baba ya East and Central Africa, look at the figures [emoji23][emoji23]View attachment 1212708
Mungu wangu. Nairobi ina more high networth individuals (HNWI)(watu waliyo na dola milioni moja na zaidi) kushinda Lagos? Yaani Nairobi ina 6,200 HNWIs na Lagos ina 5,400 HNWIs. Kweli Lagos ni shit-hole. Watanzania ambao wanapenda sana kukimbizana na sisi Dar ina HNWIs 1,300. Yaani Nairobi ina 6,200/1,300=4.8. Yaani kwa kila Mtanzania mmoja anaye dola milioni moja kuna Wakenya 4.8 yaani karibia watano ambao wana hizo hizo dola milioni moja. Hamna haja tena ya Watanzania kukimbizana na Kenya. Sisi ligi yetu ni Cairo nyie mnafaana na Kampala.
 
Njoo huku Kosugi nilikuambia hiki kitu ukatokwa mapovu nikakuacha, ila ndio ukweli wa wazi kwamba uchumi wa mji wa Nairobi pekee yake unatoshana na uchumi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yote kuanzia kusini, kaskazini hadi visiwani.
 
kama GDP ya Nairobi ni USD 49bn, nikicheki Google naona GDP ya Kenya ni USD 74bn , hii inamaanish asilimia 66 ya utajiri wa Kenya upo Nairobi, is it possible??
Hapa ndio utajua zile hesabu za GDP Sijui takwimu gani za uchumi zilivyo za kimkakati zaidi.
 
No Dweji net worth is $1.9bn while Moi's family alone is $3bn. So what's your point?
Tanzania has 1 billionaire but you have nothing there

Do you even know 1 billionaire is equal to how many millionaires? [emoji23]
 
kama GDP ya Nairobi ni USD 49bn, nikicheki Google naona GDP ya Kenya ni USD 74bn , hii inamaanish asilimia 66 ya utajiri wa Kenya upo Nairobi, is it possible??
GDP ya Kenya ni $98bn, twice ile ya Tz[emoji23][emoji23]
 
No Dweji net worth is $1.9bn while Moi's family alone is $3bn. So what's your point?
Do you think Mkapa, Mwinyi, Kikwete, Lowassa and other noble politicians don't have multibillion investments in and outside of the country?

Kwa taarifa yako wala hizi report hazireflect the innermost core of the finance reality system of the country

Hapo sijaona multibillion investments za Barrick and Acacia ambapo their normal daily fuel consumption ni nusu ya matumizi yote ya fuel Tanzania nzima, how on earth do you underrated them?

Bado hii report ina loopholes nyingi.
 
The report is talking about cities not mining industries. When will you start reasoning?

HQ of the company is what predicted where hosts how much, don't be a fool

According to new company's terms itayoundwa kati ya Barrick na serikali, HQ ya Barrick itakua Mwanza na pesa zote za investments zitawekwa kwenye mabank ya Tanzania, kaa mkao wa kula
 
Mungu wangu. Nairobi ina more high networth individuals (HNWI)(watu waliyo na dola milioni moja na zaidi) kushinda Lagos? Yaani Nairobi ina 6,200 HNWIs na Lagos ina 5,400 HNWIs. Kweli Lagos ni shit-hole. Watanzania ambao wanapenda sana kukimbizana na sisi Dar ina HNWIs 1,300. Yaani Nairobi ina 6,200/1,300=4.8. Yaani kwa kila Mtanzania mmoja anaye dola milioni moja kuna Wakenya 4.8 yaani karibia watano ambao wana hizo hizo dola milioni moja. Hamna haja tena ya Watanzania kukimbizana na Kenya. Sisi ligi yetu ni Cairo nyie mnafaana na Kampala.
Ni vzur mnao hawa weng lakin ...pia ni kwa sababu kenya ni man eating man society mwenye nacho anazid kupata king wakati maskin ana didimia ..Tz una uwezo hata wa kumiliki ardhi kila Mtz .Mtu anauwezo kuwa na kiwanja Dar wakati hapo Nairobi kununua kiwanja ni mahesabu ...wealth mnayo kubwa ..ila imejaa na inequality ya kutosha
 
Back
Top Bottom