Nairobi is twice richer than Dar and only $6bn dollars away from reaching Tz GDP.

Nairobi is twice richer than Dar and only $6bn dollars away from reaching Tz GDP.

Naona watu wengi humu Ndan wanachanganya GDP na wealth ...GDP ni total value of goods and services produced in country kwa mwaka ...wealth ni accumulation ..nairobi haina GDP ya 49bn USD bali wealth yake ndo hio
 
Kumbe nairobi hakuna billionaire $1 billion is in Tanzania only Mr.himself mo dewji,a man from singida region
 
HQ of the company is what predicted where hosts how much, don't be a fool

According to new company's terms itayoundwa kati ya Barrick na serikali, HQ ya Barrick itakua Mwanza na pesa zote za investments zitawekwa kwenye mabank ya Tanzania, kaa mkao wa kula
I can see you want to claim the SI unit of stupidity from Joto La Jiwe, we're discussing about individuals wealth not companies. That's why KCB, Equity bank, Sportpesa and Safaricom haziko hapo. So spare us your stupidity please.
 
Unataka kumlinganisha dewiji na moi's family...duh!!kwel ccm ni janga la taifa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dumbmate,
Jibu nilichokuuliza, billionaires list[emoji23][emoji23][emoji23] sio kunyamba nyamba hapa.
 
Kwa Kenya everything is Nairobi.tofauti na bongo uchumi upo scattered mwanza, Arusha Dodoma nk sio Dar pekee
 
Weeee!!singida, una wazimu...vile vyeti tu vya kuwapumbaza ndio mzidi kumtajirisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe nairobi hakuna billionaire $1 billion is in Tanzania only Mr.himself mo dewji,a man from singida region
 
I can see you want to claim the SI unit of stupidity from Joto La Jiwe, we're discussing about individuals wealth not companies. That's why KCB, Equity bank, Sportpesa and Safaricom haziko hapo. So spare us your stupidity please.

Civil discourse ain’t impossible!
 
Hii ndio shida ya kuwa na ufinyu wa akili [emoji23][emoji23][emoji23] kazi kudandia treni kwa mbele bila kujua inakwenda wapi.
Unataka kumlinganisha dewiji na moi's family...duh!!kwel ccm ni janga la taifa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
OK, let's do this,
Let's compare wealth ya
Mombasa Vs Mwanza
Nakuru Vs Arusha
Kisumu Vs Dodoma

I think this will settle the case.
Kwa Kenya everything is Nairobi.tofauti na bongo uchumi upo scattered mwanza, Arusha Dodoma nk sio Dar pekee
 
We are discussing about wealth not who goes to where.
Kenya lazima muwe na Matajiri wengi kutokana na mfumo wa kifisadi mnaotumia sababu inayo sababisha mshindwe kujenga hats 4 km za sgr Kwa Pesa ya ndani ndiyo inayo Fanya muwe na Matajiri mob
Msemo huu wa wakenya ukiuelewa maana yake utajua kwanini mnamatajiri wenyi "PESA YA SERIKALI KENYA SIYO MALI YA UMMA"
 
Mungu wangu. Nairobi ina more high networth individuals (HNWI)(watu waliyo na dola milioni moja na zaidi) kushinda Lagos? Yaani Nairobi ina 6,200 HNWIs na Lagos ina 5,400 HNWIs. Kweli Lagos ni shit-hole. Watanzania ambao wanapenda sana kukimbizana na sisi Dar ina HNWIs 1,300. Yaani Nairobi ina 6,200/1,300=4.8. Yaani kwa kila Mtanzania mmoja anaye dola milioni moja kuna Wakenya 4.8 yaani karibia watano ambao wana hizo hizo dola milioni moja. Hamna haja tena ya Watanzania kukimbizana na Kenya. Sisi ligi yetu ni Cairo nyie mnafaana na Kampala.
Ili pimbi tony hivi lina akili kweli kwani ujui Pesa ya umma Kenya siyo Mali ya wananchi???? Kenya wanachukua tu Pesa kila kiongozi anazoa bajeti ya nchi inaishia Kwa hao Matajiri 8000
 
Back
Top Bottom