Mungu wangu. Nairobi ina more high networth individuals (HNWI)(watu waliyo na dola milioni moja na zaidi) kushinda Lagos? Yaani Nairobi ina 6,200 HNWIs na Lagos ina 5,400 HNWIs. Kweli Lagos ni shit-hole. Watanzania ambao wanapenda sana kukimbizana na sisi Dar ina HNWIs 1,300. Yaani Nairobi ina 6,200/1,300=4.8. Yaani kwa kila Mtanzania mmoja anaye dola milioni moja kuna Wakenya 4.8 yaani karibia watano ambao wana hizo hizo dola milioni moja. Hamna haja tena ya Watanzania kukimbizana na Kenya. Sisi ligi yetu ni Cairo nyie mnafaana na Kampala.