Kwa hiyo unapingana na statistics zako tena,aki we una kichwa cha panzi aiseeNo Dweji net worth is $1.9bn while Moi's family alone is $3bn. So what's your point?
I can see you want to claim the SI unit of stupidity from Joto La Jiwe, we're discussing about individuals wealth not companies. That's why KCB, Equity bank, Sportpesa and Safaricom haziko hapo. So spare us your stupidity please.HQ of the company is what predicted where hosts how much, don't be a fool
According to new company's terms itayoundwa kati ya Barrick na serikali, HQ ya Barrick itakua Mwanza na pesa zote za investments zitawekwa kwenye mabank ya Tanzania, kaa mkao wa kula
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu chuchunge ana hitilafu pahala
Dumbmate,
Jibu nilichokuuliza, billionaires list[emoji23][emoji23][emoji23] sio kunyamba nyamba hapa.
Kumbe nairobi hakuna billionaire $1 billion is in Tanzania only Mr.himself mo dewji,a man from singida region
Dada unabisha au unafanyeje????Weeee!!singida, una wazimu...vile vyeti tu vya kuwapumbaza ndio mzidi kumtajirisha[emoji23][emoji23][emoji23]
I can see you want to claim the SI unit of stupidity from Joto La Jiwe, we're discussing about individuals wealth not companies. That's why KCB, Equity bank, Sportpesa and Safaricom haziko hapo. So spare us your stupidity please.
Unataka kumlinganisha dewiji na moi's family...duh!!kwel ccm ni janga la taifa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Kenya everything is Nairobi.tofauti na bongo uchumi upo scattered mwanza, Arusha Dodoma nk sio Dar pekee
Usiamini sana hizo karatasiKusema tu ukweli Nairobi ndiyo baba ya East and Central Africa, look at the figures [emoji23][emoji23]View attachment 1212708
Kenya lazima muwe na Matajiri wengi kutokana na mfumo wa kifisadi mnaotumia sababu inayo sababisha mshindwe kujenga hats 4 km za sgr Kwa Pesa ya ndani ndiyo inayo Fanya muwe na Matajiri mobWe are discussing about wealth not who goes to where.
Ili pimbi tony hivi lina akili kweli kwani ujui Pesa ya umma Kenya siyo Mali ya wananchi???? Kenya wanachukua tu Pesa kila kiongozi anazoa bajeti ya nchi inaishia Kwa hao Matajiri 8000Mungu wangu. Nairobi ina more high networth individuals (HNWI)(watu waliyo na dola milioni moja na zaidi) kushinda Lagos? Yaani Nairobi ina 6,200 HNWIs na Lagos ina 5,400 HNWIs. Kweli Lagos ni shit-hole. Watanzania ambao wanapenda sana kukimbizana na sisi Dar ina HNWIs 1,300. Yaani Nairobi ina 6,200/1,300=4.8. Yaani kwa kila Mtanzania mmoja anaye dola milioni moja kuna Wakenya 4.8 yaani karibia watano ambao wana hizo hizo dola milioni moja. Hamna haja tena ya Watanzania kukimbizana na Kenya. Sisi ligi yetu ni Cairo nyie mnafaana na Kampala.
Gdp ya Kenya ni $90 billionkama GDP ya Nairobi ni USD 49bn, nikicheki Google naona GDP ya Kenya ni USD 74bn , hii inamaanish asilimia 66 ya utajiri wa Kenya upo Nairobi, is it possible??
GDP ya Kenya ni $98bn, twice ile ya Tz[emoji23][emoji23]