pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
πππ Hehe hawa jamaa walikuwa wanatuudhi sana sie ma'backbencher' Nakumbuka nikiwa shuleni kuna mmoja alikuwa kwenye darasa letu. Vichwa tu vya insha yake, nilikuwa nashuku sana kwamba hata mwalimu ilikuwa inambidi afufue kamusi yake. Full misamiati ya kukanganya! ππUngekua darasa langu tungekuita John Kisomo, hizo zote kisa maksi 20?
hahahaha wamegomaKwa hiyo kufuatia hukumu hii vimefunguliwa tayari vipo hewani ama serikali imegoma kutekeleza hukumu ya mahakama?
hahahaha wamegoma
Kenya kuna serikali pia na ndio inayowafanya wafanyakazi wa moja ya hizo media washindwe kurudi nyumbani kwa siku mbili.Hivi huko kenya kuna Serikali na Mahakama..!
Mbona huku kwetu SUGU tu anapigishwa Kwata bila sababu ya Msingi..!
Ni nani anaamuru hili..?
Kenya wanapitia matatizo mengi sana na makubwa ambayo kimsingi sisi Watz bado tuna miaka kama 30 zaidi kuyafikia hayo matatizo. Swali la kujiuliza ni tukija kufikia walipo sasa wenyewe watakuwa tayari wanaingia 'golden ege'!
Umetumia haya (paragraph) tano kujibu haya moja kielelezo kwamba una kitu umeelewa hapo.Hakuna namna ya tz kupitia huko kwa sababu uhuru kenya ulipokelewa na kundi ambalo halina taswira ya kitaifa bali jimbo/majimbo fulani. Awamu 1, jimbo1(Jomo Kenyatta), awamu ya pili jimbo2( Moi), awamu ya tatu jimbo 1(Kibaki), awamu ya nne jimbo 1 na mtoto wa raisi wa awamu 1(Uhuru Kenyatta).
Mamlaka ktk Kenya hazijawahi kutoka nje ya hayo majimbo mawili hivyo hata juhudi za kina Raila kwenye rainbow coalition walitumika tu ila hii ndiyo picha halisi.
TANZANIA INAHITAJI NINI KWENDA KWENYE HII SHIDA?.
Uhuru wa tz ulienda kwa wawakilishi wa kweli na wenye maadili ya utaifa kwanza. Imebaki hivyo mpaka sasa. Nyerere, mwinyi, mkapa na kikwete. Ndiyoo! wote ni TANU au CCM lakini at least huwezi kuwahusisha na jamii yoyote ya kitanzania kwani kila mtanzania anaweza kuingia na kukwea ngazi zote bila saana! kukwazwa na asili wala dini yake, labda kidoogo pesa.
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mumpe, CCM imejaribu kutunza utaifa na usawa kwa kiasi kikubwa na kwa namna fulani hata demokrasia kiujumla, kuliko nchi zenye katiba zinazoonekana nzuri kwenye makaratasi lakini hazitekelezeki.
Unaweza kusema CCM haiwezi kuachia upinzani hivyo tz iko nyuma kidemokrasia! labda kweli lakini ikumbukwe kuwa watanzania wengi hata wa upinzani wanakubaliana mambo mengi sana hata ya kiuchumi na itikadi za siasa hadi kuna watu wengi sana wa upinzani wanakubaliana na serikali ya awamu ya 5 na kinyume chake.
Sioni nchi ya aina hii inahitaji kuelekea iliko kwa mfano Kenya etc., kufanya nini? mkondo wetu ni mwingine. Kuna vyama vikiongoza, tz inaweza kuanza kuzungumzia kuelea route ya Kenya ambayo sishauri ifuatwe.
Michadema hatuisikii kuloloma,hilo ni funzo kwa akina Maalim na UKAWA,serikali haijaribiwiMahakama Kuu nchini kenya imetengua maamuzi ya serikali kufungia vyombo vitatu vya habari kwa muda mpaka suala hilo litakaposikilizwa.
Source:BBC World news
The Kenyan government shutdown of the three largest private TV channels has been suspended by a Kenya high court pending a full hearing.
The channels had been shut down as they had planned to broadcast opposition leader Raila Odinga's unofficial "inauguration" in Nairobi
Court suspends TV shutdown in Kenya
Hakuna namna ya tz kupitia huko kwa sababu uhuru kenya ulipokelewa na kundi ambalo halina taswira ya kitaifa bali jimbo/majimbo fulani. Awamu 1, jimbo1(Jomo Kenyatta), awamu ya pili jimbo2( Moi), awamu ya tatu jimbo 1(Kibaki), awamu ya nne jimbo 1 na mtoto wa raisi wa awamu 1(Uhuru Kenyatta).
Mamlaka ktk Kenya hazijawahi kutoka nje ya hayo majimbo mawili hivyo hata juhudi za kina Raila kwenye rainbow coalition walitumika tu ila hii ndiyo picha halisi.
TANZANIA INAHITAJI NINI KWENDA KWENYE HII SHIDA?.
Uhuru wa tz ulienda kwa wawakilishi wa kweli na wenye maadili ya utaifa kwanza. Imebaki hivyo mpaka sasa. Nyerere, mwinyi, mkapa na kikwete. Ndiyoo! wote ni TANU au CCM lakini at least huwezi kuwahusisha na jamii yoyote ya kitanzania kwani kila mtanzania anaweza kuingia na kukwea ngazi zote bila saana! kukwazwa na asili wala dini yake, labda kidoogo pesa.
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mumpe, CCM imejaribu kutunza utaifa na usawa kwa kiasi kikubwa na kwa namna fulani hata demokrasia kiujumla, kuliko nchi zenye katiba zinazoonekana nzuri kwenye makaratasi lakini hazitekelezeki.
Unaweza kusema CCM haiwezi kuachia upinzani hivyo tz iko nyuma kidemokrasia! labda kweli lakini ikumbukwe kuwa watanzania wengi hata wa upinzani wanakubaliana mambo mengi sana hata ya kiuchumi na itikadi za siasa hadi kuna watu wengi sana wa upinzani wanakubaliana na serikali ya awamu ya 5 na kinyume chake.
Sioni nchi ya aina hii inahitaji kuelekea iliko kwa mfano Kenya etc., kufanya nini? mkondo wetu ni mwingine. Kuna vyama vikiongoza, tz inaweza kuanza kuzungumzia kuelea route ya Kenya ambayo sishauri ifuatwe.
Kuna nchi Waziri anafunga kila siku vyombo vya habari na mahakama imetulia.Safi sana.
Hongereni wakenya.
Mpo vizuri sana.
Haki zenu mnazijua na mnazipata kwa wakati.
Mkuu umeandika kilugha. Kuloloma??Michadema hatuisikii kuloloma,hilo ni funzo kwa akina Maalim na UKAWA,serikali haijaribiwi
Mahakama Kuu nchini kenya imetengua maamuzi ya serikali kufungia vyombo vitatu vya habari kwa muda mpaka suala hilo litakaposikilizwa.
Source:BBC World news
The Kenyan government shutdown of the three largest private TV channels has been suspended by a Kenya high court pending a full hearing.
The channels had been shut down as they had planned to broadcast opposition leader Raila Odinga's unofficial "inauguration" in Nairobi
Court suspends TV shutdown in Kenya
Acha ushamba kukata rufaa ni haki ya kila mkenya. Hata uamuzi wa mahakama yeyote ule ukitolewa, humo ndani huwa wanapeana muda wa siku kumi na nne za kukata rufaa kabla uamuzi wenyewe haujakuwa 'binding' yaani haujapigwa muhuri chini ya sheria.Hahahaaaa jamaaa wamekata rufaaa upuupuu juuya upupuuu