NAIROBI, KENYA: Mahakama yaamuru Televisheni zilizofungiwa zifunguliwe

Ungekua darasa langu tungekuita John Kisomo, hizo zote kisa maksi 20?
😀😀😀 Hehe hawa jamaa walikuwa wanatuudhi sana sie ma'backbencher' Nakumbuka nikiwa shuleni kuna mmoja alikuwa kwenye darasa letu. Vichwa tu vya insha yake, nilikuwa nashuku sana kwamba hata mwalimu ilikuwa inambidi afufue kamusi yake. Full misamiati ya kukanganya! 🙂🙂
 
Kwa hiyo kufuatia hukumu hii vimefunguliwa tayari vipo hewani ama serikali imegoma kutekeleza hukumu ya mahakama?
 
Hivi huko kenya kuna Serikali na Mahakama..!

Mbona huku kwetu SUGU tu anapigishwa Kwata bila sababu ya Msingi..!

Ni nani anaamuru hili..?
Kenya kuna serikali pia na ndio inayowafanya wafanyakazi wa moja ya hizo media washindwe kurudi nyumbani kwa siku mbili.
Kisa wanaogopa kukamatwa na polisi wanaowasubiri nje ya jengo la ofisi zao wawakamte.
 
Still, Uhuru Kenyatta's mission was perfectly accomplished nothing important.
 
Wacheni waKenya wafanye vitu vyao. Wako juu sana huwezi kufananisha na tz. Ujiapishe tz saa hizi ingekuwa ni misiba kibao
 
Ukiona mahakama inasifiwa na na mhimili ule mwingine ujue something somewhere is not okay
 
Kenya wanapitia matatizo mengi sana na makubwa ambayo kimsingi sisi Watz bado tuna miaka kama 30 zaidi kuyafikia hayo matatizo. Swali la kujiuliza ni tukija kufikia walipo sasa wenyewe watakuwa tayari wanaingia 'golden ege'!

Hakuna namna ya tz kupitia huko kwa sababu uhuru kenya ulipokelewa na kundi ambalo halina taswira ya kitaifa bali jimbo/majimbo fulani. Awamu 1, jimbo1(Jomo Kenyatta), awamu ya pili jimbo2( Moi), awamu ya tatu jimbo 1(Kibaki), awamu ya nne jimbo 1 na mtoto wa raisi wa awamu 1(Uhuru Kenyatta).

Mamlaka ktk Kenya hazijawahi kutoka nje ya hayo majimbo mawili hivyo hata juhudi za kina Raila kwenye rainbow coalition walitumika tu ila hii ndiyo picha halisi.

TANZANIA INAHITAJI NINI KWENDA KWENYE HII SHIDA?.

Uhuru wa tz ulienda kwa wawakilishi wa kweli na wenye maadili ya utaifa kwanza. Imebaki hivyo mpaka sasa. Nyerere, mwinyi, mkapa na kikwete. Ndiyoo! wote ni TANU au CCM lakini at least huwezi kuwahusisha na jamii yoyote ya kitanzania kwani kila mtanzania anaweza kuingia na kukwea ngazi zote bila saana! kukwazwa na asili wala dini yake, labda kidoogo pesa.

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mumpe, CCM imejaribu kutunza utaifa na usawa kwa kiasi kikubwa na kwa namna fulani hata demokrasia kiujumla, kuliko nchi zenye katiba zinazoonekana nzuri kwenye makaratasi lakini hazitekelezeki.

Unaweza kusema CCM haiwezi kuachia upinzani hivyo tz iko nyuma kidemokrasia! labda kweli lakini ikumbukwe kuwa watanzania wengi hata wa upinzani wanakubaliana mambo mengi sana hata ya kiuchumi na itikadi za siasa hadi kuna watu wengi sana wa upinzani wanakubaliana na serikali ya awamu ya 5 na kinyume chake.

Sioni nchi ya aina hii inahitaji kuelekea iliko kwa mfano Kenya etc., kufanya nini? mkondo wetu ni mwingine. Kuna vyama vikiongoza, tz inaweza kuanza kuzungumzia kuelea route ya Kenya ambayo sishauri ifuatwe.
 
Umetumia haya (paragraph) tano kujibu haya moja kielelezo kwamba una kitu umeelewa hapo.
Unajua mwaka 1985 mtu angasimama na kusema kuwa miaka 25 baadae Mtanzania tena wenye nyadhifa za juu wanaweza kuiba pesa zinazozidi bajeti za wizara sita bila shaka hakuna ambaye angekubali lakini hivi sasa tunasikia awamu ya tano kibainisha wiza wa trillions!
Kumbuka nchi za Ulaya zinaoneka bora leo lakini hakuna hata moja iliyokuwa exempted bali wote wamepitia matatizo yanayofanana!
 
Mahakama Kuu nchini kenya imetengua maamuzi ya serikali kufungia vyombo vitatu vya habari kwa muda mpaka suala hilo litakaposikilizwa.

Source:BBC World news

The Kenyan government shutdown of the three largest private TV channels has been suspended by a Kenya high court pending a full hearing.

The channels had been shut down as they had planned to broadcast opposition leader Raila Odinga's unofficial "inauguration" in Nairobi

Court suspends TV shutdown in Kenya
Michadema hatuisikii kuloloma,hilo ni funzo kwa akina Maalim na UKAWA,serikali haijaribiwi
 
Hakuna namna ya tz kupitia huko kwa sababu uhuru kenya ulipokelewa na kundi ambalo halina taswira ya kitaifa bali jimbo/majimbo fulani. Awamu 1, jimbo1(Jomo Kenyatta), awamu ya pili jimbo2( Moi), awamu ya tatu jimbo 1(Kibaki), awamu ya nne jimbo 1 na mtoto wa raisi wa awamu 1(Uhuru Kenyatta).

Mamlaka ktk Kenya hazijawahi kutoka nje ya hayo majimbo mawili hivyo hata juhudi za kina Raila kwenye rainbow coalition walitumika tu ila hii ndiyo picha halisi.

TANZANIA INAHITAJI NINI KWENDA KWENYE HII SHIDA?.

Uhuru wa tz ulienda kwa wawakilishi wa kweli na wenye maadili ya utaifa kwanza. Imebaki hivyo mpaka sasa. Nyerere, mwinyi, mkapa na kikwete. Ndiyoo! wote ni TANU au CCM lakini at least huwezi kuwahusisha na jamii yoyote ya kitanzania kwani kila mtanzania anaweza kuingia na kukwea ngazi zote bila saana! kukwazwa na asili wala dini yake, labda kidoogo pesa.

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mumpe, CCM imejaribu kutunza utaifa na usawa kwa kiasi kikubwa na kwa namna fulani hata demokrasia kiujumla, kuliko nchi zenye katiba zinazoonekana nzuri kwenye makaratasi lakini hazitekelezeki.

Unaweza kusema CCM haiwezi kuachia upinzani hivyo tz iko nyuma kidemokrasia! labda kweli lakini ikumbukwe kuwa watanzania wengi hata wa upinzani wanakubaliana mambo mengi sana hata ya kiuchumi na itikadi za siasa hadi kuna watu wengi sana wa upinzani wanakubaliana na serikali ya awamu ya 5 na kinyume chake.

Sioni nchi ya aina hii inahitaji kuelekea iliko kwa mfano Kenya etc., kufanya nini? mkondo wetu ni mwingine. Kuna vyama vikiongoza, tz inaweza kuanza kuzungumzia kuelea route ya Kenya ambayo sishauri ifuatwe.

Mada yako umeiweka kishabiki, Maraisi wa Kenya na Tanzania wamepatikana katika hali tofauti. Kenya wao wamefuata njia yao na sisi tumefuata njia yetu. kumbuka hapo mwanzo tulikuwa tunapokezana na Zanzibar. halafu Baada ya Mwinyi waliokuwa katika kinyanganyiro cha mbio za urais Hatukumtegemea Rais Benjamin Mkapa, na walioshinda kwenye kura za maoni CCM alikuwa ni Rais Kikwete. na ndie aliekuja kuwa rais baada ya Ben. Waha marais wote mpaka huyu wa sasa sio kwamba walichaguliwa na wananchi wote hapana, kuna walio wakubali na ambao hawakuwakubali ila kura nyingi zilidondokea kwao na wakashinda. Hata Kenya nako ni hivyo hivyo kuwa wanataratibu zao na sio wote wanazipenda ila anaeshinda kwa kura nyingi basi huyo ndio rais, sasa wewe unaanza kuwachambua, yale ni ya kwao na sisi tuna yetu. Sasa kwa uchambuzi wako unaonyesha kuwa wewe ndio wale wanaokuwa upande mmoja, kumbuka kuna upande wa pili.

Ndo maana nikasema umeweka mada kishabiki.
 
Hahahaaaa jamaaa wamekata rufaaa upuupuu juuya upupuuu
 
Mhimili wenye nguvu huu. Si kwetu DU kaminya kabisa haki za mhimili huu sasa watu waliombabikiwa kesi hata dhamana wananyimwa.

Mahakama Kuu nchini kenya imetengua maamuzi ya serikali kufungia vyombo vitatu vya habari kwa muda mpaka suala hilo litakaposikilizwa.

Source:BBC World news

The Kenyan government shutdown of the three largest private TV channels has been suspended by a Kenya high court pending a full hearing.

The channels had been shut down as they had planned to broadcast opposition leader Raila Odinga's unofficial "inauguration" in Nairobi

Court suspends TV shutdown in Kenya
 
Hahahaaaa jamaaa wamekata rufaaa upuupuu juuya upupuuu
Acha ushamba kukata rufaa ni haki ya kila mkenya. Hata uamuzi wa mahakama yeyote ule ukitolewa, humo ndani huwa wanapeana muda wa siku kumi na nne za kukata rufaa kabla uamuzi wenyewe haujakuwa 'binding' yaani haujapigwa muhuri chini ya sheria.
 
Back
Top Bottom