Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Serikali ya Kenya nayo imeamua kuinga toka Tanzania, kuwa na mradi wa Rapid Bus Transport(BRT) ijengwe Nairobi Kenya.
Mradi wa Kenya inaelekea utakuwa mkali zaidi kwa kuwa na mabasi ya umeme.
=================
Baraza la Mawaziri Jumanne, Desemba 17, limeidhinisha ujenzi wa mfumo wa Clean Bus Rapid Transit (BRT) wenye thamani ya Ksh 43.4 bilioni. Serikali inasema hatua hiyo itaongeza ufanisi wa usafiri wa umma na miundombinu, ikihakikisha nauli zinabakia thabiti wakati wa nyakati za kawaida na za kilele.
======================
The Cabinet on Tuesday, December 17, approved the Ksh43.4 billion construction of the Clean Bus Rapid Transit (BRT) System. The government says the move will enhance public transport reliability and infrastructure efficiency, ensuring predictable fares during both low and peak hours.
Cabinet Greenlights New BRT System for Nairobi
A similar project along the busy Thika Super Highway failed after facing numerous challenges.