pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Endelea kujiliwaza kijana. Nchi sita pekee yake Africa ndo zimeweza kufanikisha haya. Wataalamu walikuwa wakenya. Natumai watazidi kusambaza ujuzi huu kwa wanafunzi waE.A wanaotaka kuingia kwenye taaluma hiyo.Hiki kitu mbona cha kawaida, kila nchi inauwezo maana ni collaborations ambapo main project inakuwa funded na JAXA, kumbuka JAXA wanauza technologia, na technologia kama hii zipo hata makampuni mengi madogo yameshasharusha satellite angani kwa ajiri ya mawasiliano, ni vipaumbele tu wala sio kuwa eti Kenya wanautalaam huo, kwenye hiyo project 90% ya output imetoka JAXA ,hili ni swala la kawaida.
Endelea kujiliwaza kijana. Nchi sita pekee yake Africa ndo zimeweza kufanikisha haya. Wataalamu walikuwa wakenya. Natumai watazidi kusambaza ujuzi huu kwa wanafunzi waE.A wanaotaka kuingia kwenye taaluma hiyo.
Itakua ipo Planet X (Nibiru) [emoji23][emoji23][emoji23]Ipo wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Itakua ipo Planet X (Nibiru) [emoji23][emoji23][emoji23]
Majirani zetu bhana..
South Africa, Nigeria, Ghana, Mauritius, Algeria, Egypt.Nchi iliyo na satelite angani africa ni moja tu
Ghana broooSouth Africa, Nigeria, Ghana, Mauritius, Algeria, Egypt.
Kuna satelites zaidi ya 8,000 kwenye orbital space. Kati ya hizo 1700 bado zinafanya kazi.
Hakuna nchi yeyote ya Africa yenye satellite yake ya kutengeneza yenyewe.
Soma tena broo!Ghana brooo
Itakua satelite city , kama vile Mapinga satelite city au Pongwe satelite city[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]May be the word satellite lost its meaning
Ghana yenyewe wamesaidiwaGhana brooo
ipi hiyo mkuuNchi iliyo na satelite angani africa ni moja tu