Nairobi-made satellite ready for launch into space

Nairobi-made satellite ready for launch into space

Hiki kitu mbona cha kawaida, kila nchi inauwezo maana ni collaborations ambapo main project inakuwa funded na JAXA, kumbuka JAXA wanauza technologia, na technologia kama hii zipo hata makampuni mengi madogo yameshasharusha satellite angani kwa ajiri ya mawasiliano, ni vipaumbele tu wala sio kuwa eti Kenya wanautalaam huo, kwenye hiyo project 90% ya output imetoka JAXA ,hili ni swala la kawaida.
Endelea kujiliwaza kijana. Nchi sita pekee yake Africa ndo zimeweza kufanikisha haya. Wataalamu walikuwa wakenya. Natumai watazidi kusambaza ujuzi huu kwa wanafunzi waE.A wanaotaka kuingia kwenye taaluma hiyo.
 
Hujui chochote ww, hizo nchi sita hakuna hata mtalaam anaweza zaidi ya kusimamia tu huku engineers wote wakiwa wageni, haujui kuwa JAXA wanatangaza na kuuza technologia kwa nchi ambazo ziko tayari, kw ufupi ni biashara u can take our leave it,

hata mimi nikiwa na kampuni yangu naweza ingia mikataba na JAXA nikawa requirements zangu tukadeploy satellite hata ya ku monitor my street, nakupa mfano, AIRSOM , its the new operator in Somalia ,they have launched satellite to monitor their 10 sites out of 24 sites to be using satellite to transfer signals, other sites will utilize microwave, ofcourse ni pesa yako tu, lakini watalaam wote wa hiyo satellite kuanza kuundwa, deployment, test & commissioning ni kampuni ya nje, hivyo mimi sishangai because I'm working in this industry sio wew mpiga domo unaesikia satellite unafikiri sijui nini?

hivi vitu hata wew unaweza fanya but u need to have capital, pesa na kipaumbele ndo muhimu, wengine wanarusha satellite wengine wanachagua kujenga barabara ,at the end wote tunajenga nchi zetu katika njia mbalimbali.
 
Hawatuwei sisi tunajenga uwanja wa ndege eneo ambalo kwa mwaka vinatua vichopa viwili
 
k
sisi wakorea tunazo kama mvua zingine zipo store
 
Kwa hili nawapongeza wakenya, hongereni sana.
 
Nchi iliyo na satelite angani africa ni moja tu
South Africa, Nigeria, Ghana, Mauritius, Algeria, Egypt.
Kuna satelites zaidi ya 8,000 kwenye orbital space. Kati ya hizo 1700 bado zinafanya kazi.
Hakuna nchi yeyote ya Africa yenye satellite yake ya kutengeneza yenyewe.
 
Ghana brooo
 
Back
Top Bottom