pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Endelea kujiliwaza kijana. Nchi sita pekee yake Africa ndo zimeweza kufanikisha haya. Wataalamu walikuwa wakenya. Natumai watazidi kusambaza ujuzi huu kwa wanafunzi waE.A wanaotaka kuingia kwenye taaluma hiyo.Hiki kitu mbona cha kawaida, kila nchi inauwezo maana ni collaborations ambapo main project inakuwa funded na JAXA, kumbuka JAXA wanauza technologia, na technologia kama hii zipo hata makampuni mengi madogo yameshasharusha satellite angani kwa ajiri ya mawasiliano, ni vipaumbele tu wala sio kuwa eti Kenya wanautalaam huo, kwenye hiyo project 90% ya output imetoka JAXA ,hili ni swala la kawaida.