Nairobi-made satellite ready for launch into space

Nairobi-made satellite ready for launch into space

umeandika point tupu! ila ni utopia

hayo mambo huwa hayawezekaniki kabisa bila government will, donors force
watu hawawezi kukaa na njaa wakaanza kuumiza vichwa kisa wakufurahishe wewe!! this starts from top to bottom

hawa hawa watanzania unaowadharau ndio wako space station nyingi sana duniani, I mean nyingi
I know but tunatakiwa tuanze sisi then government ifuate kwa kusaidia kutafuta donors na kuchangia walichokua nacho, kimsingi government haiwezi ikajianzishia tu yenyewe kwamba tunatengeneza satellite tena kwa government za kiafrika vitu kama hivyo sio priority kabisa... Nobody care, tujikusanye then tuandike proposal, engineers mathematician na wanaphysics wafanye design then muwasilishe kwa government... I have been struggling but I don't have support
 
Hahaha sio lazima na Tanzania iwe na satelite. Kwani tunashindana na Kenya?! Tutekeleze vipaumbele vyetu kwanza. Tanzania ya viwanda, satelite haipo kwenye ILANI.
 
umeandika point tupu! ila ni utopia

hayo mambo huwa hayawezekaniki kabisa bila government will, donors force
watu hawawezi kukaa na njaa wakaanza kuumiza vichwa kisa wakufurahishe wewe!! this starts from top to bottom

hawa hawa watanzania unaowadharau ndio wako space station nyingi sana duniani, I mean nyingi
And sijamdharau mtanzania maana me pia ni mmoja wao, kwa hao walioko katika space station wanatakiwa kutoa msaada hata wa mawazo., najua hatuna chuo kinachotoa Bachelor or master degree ya astrophysics but tunao waliosoma huko nje na hawakurudi huku na hawana mpango wa kuwakusanya walio na degree za physics na mathematics walioko huku na kuwapa ideas na kuwaambia nn cha kufanya kwa maana wao wanajua vingi tayari
 
I know but tunatakiwa tuanze sisi then government ifuate kwa kusaidia kutafuta donors na kuchangia walichokua nacho, kimsingi government haiwezi ikajianzishia tu yenyewe kwamba tunatengeneza satellite tena kwa government za kiafrika vitu kama hivyo sio priority kabisa... Nobody care, tujikusanye then tuandike proposal, engineers mathematician na wanaphysics wafanye design then muwasilishe kwa government... I have been struggling but I don't have support

mkuu niambie umesoma fani gani, na umeanza kufanya nini?

JF kennedy wakati anawaambia waamerika atafika mwezini, he dreamed but his scientist made this happen...sio siasa au wishful thinking hela inatakiwa na bajeti ya bila kukata au kukoma iwepo

fidel castro wakati anawaambia wahandisi tutengeneze best turbines in the world hakuishia kusema alitoa hela..
brain need to think, contemmplate, relax, creativity...kukomaa mpaka unahisi umeibeba dunia, haya ukiwa na njaa hauwezi!!

bajeti mliyosoma mwaka jana bungeni as we speak leo hela ya maendeleo haijaenda wizara yoyote ile! ndio mseme sattelite wakati tooth pick hauwezi
hao wakenya wamefadhiliwa na wajapan!!.sio hela yiao hawawezi kwa hela yao
 
Kujisema vibaya ni jambo la kushangaza lakini hakuna namna ...
Wakati majirani zetu wanainuka vizuri kiteknolojia kutokana na Elimu bora Tanzania inaendelea kuibua makorokocho kwenye Elimu.
Hiyo satellite wametengeneza wao wenyewe au kwa kushirikiana na japan?

Sema kenya kwa kusaidiwa na japan wametengeneza satellite usipende kujipendekeza
 
Siku ccm ikiondoka madarakani maendeleo yata tamaraki Tanzania
 
mkuu niambie umesoma fani gani, na umeanza kufanya nini?

JF kennedy wakati anawaambia waamerika atafika mwezini, he dreamed but his scientist made this happen...sio siasa au wishful thinking hela inatakiwa na bajeti ya bila kukata au kukoma iwepo

fidel castro wakati anawaambia wahandisi tutengeneze best turbines in the world hakuishia kusema alitoa hela..
brain need to think, contemmplate, relax, creativity...kukomaa mpaka unahisi umeibeba dunia, haya ukiwa na njaa hauwezi!!

bajeti mliyosoma mwaka jana bungeni as we speak leo hela ya maendeleo haijaenda wizara yoyote ile! ndio mseme sattelite wakati tooth pick hauwezi
hao wakenya wamefadhiliwa na wajapan!!.sio jela yao hawawezi kwa hela yao
[emoji20] [emoji20] medicine but hii niliichaguaga baada ya wazazi kupinga mm kuisoma physics kama physics.... Poor me
About nilichoanza kufanya daah.... Nimefanya vingi na vingine havipo kwenye fani yangu
 
Unarusha satellite wakati Huku Kibera tunakufa njaa!!
 
Mi huwa nashangaa kila mwaka watu wanamaliza vyuo lakini hakuna tofauti yeyote inayo tokea az if kama tuko kwenye genge la porojo na YouTube's.
Juzi Heri james mwenyekiti wa uvccm alivuna wanafunzi zaidi ya 300 pale udsm....nadhani jibu umelipata hawa ndio wasomi na ccm wanapenda kuwaona wakiwa hivi.
 
Kenya hongereni. Mtaanza kumchek JPM from the air. Just hahaaa
 
Juzi Heri james mwenyekiti wa uvccm alivuna wanafunzi zaidi ya 300 pale udsm....nadhani jibu umelipata hawa ndio wasomi na ccm wanapenda kuwaona wakiwa hivi.
Ndo hao wasomi wa Tz wanavunwa kama nyanya.
 
Kama tu hawa mabwana toka kule tanganyika- Hadza

6968022803_8dc7ee82da_b.jpg
Aa wapiii....huwezi fananisha na Wale wa Turkana wenye utapiamlo! Wetu wana shibe..
 
Itatumika kutazamia shughuli za kilimo na kuangalia shughuli za mwambao...congrats kenya....
 
Sisi tunahangaika na chaguzi ndogo za marudio kwa gharama za walipa kodi ambao ni maskini wa kutupwa.
 
Hiki kitu mbona cha kawaida, kila nchi inauwezo maana ni collaborations ambapo main project inakuwa funded na JAXA, kumbuka JAXA wanauza technologia, na technologia kama hii zipo hata makampuni mengi madogo yameshasharusha satellite angani kwa ajiri ya mawasiliano, ni vipaumbele tu wala sio kuwa eti Kenya wanautalaam huo, kwenye hiyo project 90% ya output imetoka JAXA ,hili ni swala la kawaida.
 
Back
Top Bottom