Nairobi - Mambo aliyozingua Diamond -Simba- Dangote

Nairobi - Mambo aliyozingua Diamond -Simba- Dangote

umezaliwa mwaka 1989

hakuna waimbaji wazuri wa live nchi hii kama wanamuziki wa dansi, kiba, THT wote

Mond hawezi kuimba live, dsm ingesimama

weka clip yake moja tu ambayo anaimba live, kavukavu na please kama utaikuta mbovu usiweke, naomba nicheke kwa vitu vya msingi
Una utahira mkubwa sana kuuliza swali na kutaka ujibiwe jibu unalotaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekusachi kumbe timu kiba hunisumbui, eti 89 mdogo au anakula kwa baba na mama yako mpaka hivi sasa, kaangalie washindi wa MTV MAMA 2013 Diamond alishinda best entertainer na kura walipiga jopo la majaji wa MTV MAMA na si kura zenu za online, ndio jiulize wazungu wamempa sasa ww utakuwa nani.
Achana na uyo mvuta bange

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku izi wameanzisha kaujinga flani hivi, eti wanachukua chupa ya maji halafu wanawamwagia watu eti kupandisha mzuka... Kudadeki ukinimwagia maji napanda nawewe jukwaani jumla jumla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ma vocal coach why wasiimbe wao wakatoka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Msanii yoyote wa mbele anayeimba lazima awe na vocal tranner,kuna watu hawana vipaji vya kuimba ila ni wamejifunza darani,sisi TZ tunachukulia poa lakini pale Bagamoyo wapo mavocal trainer kibao wenye uwezo wa kumtraini mtu kuimba.

Sio kwenye kuimba tu hata kwenye michezo mbele kuna baadhi ya wachezaji (wengi wao ) wanakuwa na personal trainner wake wa kumtrainner mazoezi mbali mbali ,hizi training watu wanakaa darasani wanasomea .So usimuone Beyonce au Alicia Keys au R-kelly akiimba jua huku nyuma ana mtu wa kumtrain vocal na mtu wa kumtrain mazoezi ya kumaintain pumzi.

Ila Mondi wanamlaumu tu ila hawajui hamna kitu kikubwa na kigumu kama kuimba na kucheza kwa wakati mmoja ,alafu una mzungumzia mtu aliyepiga show 4 ndani ya siku 7 mfululizo,lazima pumzi itakata.
 
umezaliwa mwaka 1989

hakuna waimbaji wazuri wa live nchi hii kama wanamuziki wa dansi, kiba, THT wote

Mond hawezi kuimba live, dsm ingesimama

weka clip yake moja tu ambayo anaimba live, kavukavu na please kama utaikuta mbovu usiweke, naomba nicheke kwa vitu vya msingi
Na ndiyo maana Christian Bella anawazidi saana kwenye show zake kwa sababu pia no mwimbaji was bendi so kuimba hata bila vyombo haimpi shida!
 
Diamond anaweza sana kuimba live. Si umfuatilie coke studio.
Shida ya diamond ni moja anapenda kucheza anasahau kuna kuimba. Dancers wa nini kama anataka kucheza zaid kuliko kuimba. Huwez imba huku unacheza ni ngumu sana kumaintain. Na ndicho hicho kinamuangusha diamond angefataga ushauri wa kuwaachia dancers wacheze yeye aimbe tu
Acha kutetea hawezi kuimba live
 
Na ndiyo maana Christian Bella anawazidi saana kwenye show zake kwa sababu pia no mwimbaji was bendi so kuimba hata bila vyombo haimpi shida!

Bella, papii kocha n. wako vizuri sana

tunatakiwa kuiga uwezo wao

akina beyonce, mariah carry, Neyo....wako vizuri sana Live.....

vibe la live ni zuri

kama wewe ndio umeimba mziki, kisha unaniita kwenye tamasha lako unajiwekea playback CD wewe wewe ambaye ndio uliouimba wimbo haipendezi
 
Back
Top Bottom