kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Una utahira mkubwa sana kuuliza swali na kutaka ujibiwe jibu unalotakaumezaliwa mwaka 1989
hakuna waimbaji wazuri wa live nchi hii kama wanamuziki wa dansi, kiba, THT wote
Mond hawezi kuimba live, dsm ingesimama
weka clip yake moja tu ambayo anaimba live, kavukavu na please kama utaikuta mbovu usiweke, naomba nicheke kwa vitu vya msingi
Sent using Jamii Forums mobile app