Una utahira mkubwa sana kuuliza swali na kutaka ujibiwe jibu unalotakaumezaliwa mwaka 1989
hakuna waimbaji wazuri wa live nchi hii kama wanamuziki wa dansi, kiba, THT wote
Mond hawezi kuimba live, dsm ingesimama
weka clip yake moja tu ambayo anaimba live, kavukavu na please kama utaikuta mbovu usiweke, naomba nicheke kwa vitu vya msingi
Achana na uyo mvuta bangeNimekusachi kumbe timu kiba hunisumbui, eti 89 mdogo au anakula kwa baba na mama yako mpaka hivi sasa, kaangalie washindi wa MTV MAMA 2013 Diamond alishinda best entertainer na kura walipiga jopo la majaji wa MTV MAMA na si kura zenu za online, ndio jiulize wazungu wamempa sasa ww utakuwa nani.
Sawa mcanadaDogo apumzike tu kwa sasa kwani anachemka mno.....hata show yake ya Canada watu kibao walimponda na wengi tuliondoka wenyewe kabla ya show kwisha.....alituboa sana na sitaki tena kumuona LIVE.
kumbe Esma ndio vocal coach wake? πππEsma hafai tena kuwa vocal coach? Hv yule Queen Dalin ana shughuli gan kwenye hayo matamasha?
Msanii yoyote wa mbele anayeimba lazima awe na vocal tranner,kuna watu hawana vipaji vya kuimba ila ni wamejifunza darani,sisi TZ tunachukulia poa lakini pale Bagamoyo wapo mavocal trainer kibao wenye uwezo wa kumtraini mtu kuimba.
Na ndiyo maana Christian Bella anawazidi saana kwenye show zake kwa sababu pia no mwimbaji was bendi so kuimba hata bila vyombo haimpi shida!umezaliwa mwaka 1989
hakuna waimbaji wazuri wa live nchi hii kama wanamuziki wa dansi, kiba, THT wote
Mond hawezi kuimba live, dsm ingesimama
weka clip yake moja tu ambayo anaimba live, kavukavu na please kama utaikuta mbovu usiweke, naomba nicheke kwa vitu vya msingi
Acha kutetea hawezi kuimba liveDiamond anaweza sana kuimba live. Si umfuatilie coke studio.
Shida ya diamond ni moja anapenda kucheza anasahau kuna kuimba. Dancers wa nini kama anataka kucheza zaid kuliko kuimba. Huwez imba huku unacheza ni ngumu sana kumaintain. Na ndicho hicho kinamuangusha diamond angefataga ushauri wa kuwaachia dancers wacheze yeye aimbe tu
Naongea kile nilichokiona na baada ya kugundua his weakness. So usifikiri nipo kwa ajili ya kumteteaAcha kutetea hawezi kuimba live
Na ndiyo maana Christian Bella anawazidi saana kwenye show zake kwa sababu pia no mwimbaji was bendi so kuimba hata bila vyombo haimpi shida!