Nairobi ni Jiji kubwa East and Central Africa but......

Nairobi ni Jiji kubwa East and Central Africa but......

I found this spectacular.
9tvwYRN.jpg
 
was just about kuuliza huo mlima ni upi kwa sababu mimi huuona mara kadhaa
 
an115851475gettyimages-1568.jpg


kama ulikua hauna kwa kwenda ungeenda ukatulia pale uhuru park hata ukalala kwa mabench au nyasi siku nxima hakuna mtu angekusumbua
image99.png
 
It means ur poor fam ...

Wacha kuanika umaskini wako nje hivi....

Kama pesa yako inakupeleka Kibandani wacha Kuikashifu nairobi kwa bidii yako Hafifu....

Kama Mfuko yako ina kupeleka Kwa kibanda wacha kuBlame Nairobi Blame mfuko yako
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu (in magufuli's voice)[emoji23] povu vepee! I know Nairobi to my extent! I don mean it is slum all over... noo but most of its parts! Poor city
 
Masikini wa kutupwa wengi wenu mnakoweza kuishi ni mabandani, hata Afrika Kusini na Masri yapo............inaonesha ulivyo maskini kama wabongo wenzako.
Can only afford to live in such places, ungalikua mwenye hela hungezisikia hata zilipo hizo mabanda uyasemayo.
The fact remains... Nairobi is most unplanned city across the southern part of Africa.... kibera is SI Unit for poorest slums in the World
 
Kuna polisi wa Kenya walikua wanatania sehemu, kwamba akimkamata Mtanzania, kitu cha kwanza ni kumzuia kuongea maana atatiririka uwongo hadi basi, halafu maneno mengi.....

Hebu ingia nao kwenye vikao, yaani kikao ulitegemea kiishe ndani ya masaa mawili kitakwenda hadi usiku, maneno mengi ya kujirudiarudia na kukomoana. Ukitaka kuwazima hakikisha kila atakayechangia atumie Kingereza, hapo kila mtu kimyaaa na kila anayethubutu kuongea analazimika kuwa makini sana.

Sasa mpe mwanasiasa wa kwao mic/kipaza sauti, hapo ndio mtapiga miayo hadi mkome.
Jamaa una utani wa kweli wewe ukiwa karibu ngumi zinaanza
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu (in magufuli's voice)[emoji23] povu vepee! I know Nairobi to my extent! I don mean it is slum all over... noo but most of its parts! Poor city

Oooh Don't start Your Queen like Drama again. It's documented very well that Dareslum is 70% slum.
 
The fact remains... Nairobi is most unplanned city across the southern part of Africa.... kibera is SI Unit for poorest slums in the World
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You killed it
 
.... Tehehehee.... And Manzense is the signature of the poorest slums in the world.
Noway. ...manzese Isn't bad as kibera is [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom