Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Edward Wanjala, u must quit mirungi, or u will end up with permanent psychomotor impairment.
Iyo inatofauti gani na barabara ya mandela apa Dar? Au pugu road...you guys mnaugua akili ...usifananishe chicago na vitu vya kijingaThis is not Chicago,this is Kenya let the naysayers say....Nairobi stands tall in everything
![]()
![]()
![]()
source
__________________
Tehehehee... Tulia dawa ikuingie.... Acha kuviwonder hapaIyo inatofauti gani na barabara ya mandela apa Dar? Au pugu road...you guys mnaugua akili ...usifananishe chicago na vitu vya kijinga
Leta picha tuone tuamini, kelele ya nnIyo inatofauti gani na barabara ya mandela apa Dar? Au pugu road...you guys mnaugua akili ...usifananishe chicago na vitu vya kijinga
Unadhani mie photographer mwenzio? Kwamba kila mahali nilipiga picha...utafute kwa time yakoLeta picha tuone tuamini, kelele ya nn
Unadhani mie photographer mwenzio? Kwamba kila mahali nilipiga picha...utafute kwa time yako
hadithi za vijiweni zilizopitwa na wakati iziUkisikia wakenya wakiisemea nairobi unaweza kudhani wana ardhi kule... ardhi yote imehodhiwa na wanasiasa wenye pesa... hawa wanabwabwaja huku wamepanga kibera... bora huku dar nmejenga kanyumba kangu mbezi huku nakunya ndani kama kondoo! Nairobi ardhi ni ya wenyewe
hiyo kasumba ya kitoto umetoa wapi??Ukisikia wakenya wakiisemea nairobi unaweza kudhani wana ardhi kule... ardhi yote imehodhiwa na wanasiasa wenye pesa... hawa wanabwabwaja huku wamepanga kibera... bora huku dar nmejenga kanyumba kangu mbezi huku nakunya ndani kama kondoo! Nairobi ardhi ni ya wenyewe
Ukisikia wakenya wakiisemea nairobi unaweza kudhani wana ardhi kule... ardhi yote imehodhiwa na wanasiasa wenye pesa... hawa wanabwabwaja huku wamepanga kibera... bora huku dar nmejenga kanyumba kangu mbezi huku nakunya ndani kama kondoo! Nairobi ardhi ni ya wenyewe
The fact remains... Nairobi is most unplanned city across the southern part of Africa.... kibera is SI Unit for poorest slums in the World
NAONA KWELI WEWE LIMBUKENI KABISA KABISA!!Iyo inatofauti gani na barabara ya mandela apa Dar? Au pugu road...you guys mnaugua akili ...usifananishe chicago na vitu vya kijinga
Limbukeni mwenyewe...NAONA KWELI WEWE LIMBUKENI KABISA KABISA!!
Which kibera?
Nido maana hayo ma3 yamekaa kinyang'au kweli yani ugly ...Matatu zimesaidia kuinua uchumi wa Kenya kwa sababu asilimia kubwa zinatengenezwa ndani ya nchi tofauti na Tz ambako magari mengi yanaagizwa moja kwa moja kutoka nje. Ukiwa Nairobi ni nadra sana kuona coster na hiace.
ningependa unijibu tu swali moja?huwa huchoshwi na huo wivu wako?wivu ni mzigo nduguNido maana hayo ma3 yamekaa kinyang'au kweli yani ugly ...
ila nasikia ndani ni disco damn hivi nyie makwenu hamna radio?