Nairobi ni Jiji kubwa East and Central Africa but......

This is not Chicago,this is Kenya let the naysayers say....Nairobi stands tall in everything
15875989_835588799917720_2010519773745512448_n.jpg

15875841_600826260121530_4286754846083645440_n.jpg

15625371_1298132973592484_3048648622280278016_n.jpg

source
__________________
 
Hawa jamaa wa bongo hawana barabara hata kiwango cha Kisumu, nimewambia walete proof wameshindwa, Ukiangalia aerial shoots za Dar, utaona barabara moja imepita vibandani hadi kwenye CBD, yaani ile iliyo na BRT, hakuna nyingine kabisa!!

Hiyo ksei tumeifunga na povu liondoke hapa!!
 
This is not Chicago,this is Kenya let the naysayers say....Nairobi stands tall in everything
15875989_835588799917720_2010519773745512448_n.jpg

15875841_600826260121530_4286754846083645440_n.jpg

15625371_1298132973592484_3048648622280278016_n.jpg

source
__________________
Iyo inatofauti gani na barabara ya mandela apa Dar? Au pugu road...you guys mnaugua akili ...usifananishe chicago na vitu vya kijinga
 
Tehehehee... Tulia dawa ikuingie.... Acha kuviwonder hapa
 
Ukisikia wakenya wakiisemea nairobi unaweza kudhani wana ardhi kule... ardhi yote imehodhiwa na wanasiasa wenye pesa... hawa wanabwabwaja huku wamepanga kibera... bora huku dar nmejenga kanyumba kangu mbezi huku nakunya ndani kama kondoo! Nairobi ardhi ni ya wenyewe
 
hadithi za vijiweni zilizopitwa na wakati izi
 
Ukisikia wakenya wakiisemea nairobi unaweza kudhani wana ardhi kule... ardhi yote imehodhiwa na wanasiasa wenye pesa... hawa wanabwabwaja huku wamepanga kibera... bora huku dar nmejenga kanyumba kangu mbezi huku nakunya ndani kama kondoo! Nairobi ardhi ni ya wenyewe
hiyo kasumba ya kitoto umetoa wapi??
 
Ukisikia wakenya wakiisemea nairobi unaweza kudhani wana ardhi kule... ardhi yote imehodhiwa na wanasiasa wenye pesa... hawa wanabwabwaja huku wamepanga kibera... bora huku dar nmejenga kanyumba kangu mbezi huku nakunya ndani kama kondoo! Nairobi ardhi ni ya wenyewe

Mwanzo ukasema Nairobi is the most unplanned city in the world. Sasa unasema we don't own the shit found in Nairobi baada ya kurealize your first assertion was far from the truth. Muache mjinga ajishinde mwenyewe.

The fact remains... Nairobi is most unplanned city across the southern part of Africa.... kibera is SI Unit for poorest slums in the World
 
Matatu zimesaidia kuinua uchumi wa Kenya kwa sababu asilimia kubwa zinatengenezwa ndani ya nchi tofauti na Tz ambako magari mengi yanaagizwa moja kwa moja kutoka nje. Ukiwa Nairobi ni nadra sana kuona coster na hiace.
 
Nido maana hayo ma3 yamekaa kinyang'au kweli yani ugly ...
ila nasikia ndani ni disco damn hivi nyie makwenu hamna radio?
 
ningependa unijibu tu swali moja?huwa huchoshwi na huo wivu wako?wivu ni mzigo ndugu
 
Nairobi is surrounded by street striper {machangudoa kila kona}
 
Back
Top Bottom