Nairobi ranked 6th most wealthy city Africa after Durban, Cape Town, Cairo, Lagos and Johannesburg

I am happy with Mombasa.... Another few years, Either Nakuru or kisumu will be on that list. Cheza Na Kenya Weye
 
Bussiness nying in Kenya zinaanza nairobi 83%
Dar 44%
 
Kha!!bora hata sisi tulivyoingia huku tungewaacha wenyewe mngetoana roho kwa ukabila kuwepo kwetu huku kumesaidia Wakenya kuwa kitu kimoja "Sisi ni Watanzania wale ni Wakenya" tofauti na hapo ingekuwa "wale ni wa Luo sisi ni wakamba" anyway kuna umuhimu wa Mod kuwatengea jukwaa lenu la siasa huko hatutakuja tuwaacheni na ndizi zenu na machungwa yenu kwa ushauri tu wa bure usitie neno lolote kule kwny jukwaa la siasa la Tanzania utachafukwa
 
Reactions: Oii
Remember Mombasa ni ya pili Kenya na imezidi hadi Kigali na Bujumbura. Mwanza ambayo ni ya pili Tz sidhani kama inaweza fika hats KES 200 billion.

Halafu utambue Mombasa Population = 1.2 million na iko na $8 billion. That's $6,667 per capita.

Dar population = 5 million na iko na $25 billion.
That's $5,000 per capita. So practically Mombasa is richer than Dar.
 
Hay basi tuondoe Tazara na port of Dar si mnakuwa sawa na Mombasa.😉😉😉
 
Hapana potea mada, nyie mnakesha hapa KENYAN NEWS yani sisi wachache tunakichangamsha kijiji kizima na hiyo ndiyo sababu ya Kenya kuongoza ukanda huu. We are determined and never deterred from our mission to conquer Afrika ilhali nyie mnataka kuchapa kENYA which is very imposible juu you aim at the moon instead of the sun.
 
Hii "estimate" iliyo fanywa na bank ya afri-asia ya "Mauritius" na kuandikwa na Mkenya ni ya kupuuzwa kabisa. Kuna taasisi wana deal na haya mambo na wana budget ya kufanya tafiti kama hizi. Siyo mtu anakaa na laptop na ku google then anakuja na report ambayo hai make sense ata kwa mtoto wa Primary.
 
tabia ya kuaminisha ulimwengu mlima Kilimanjaro uko Kenya wana mambo ya hovyo sana hawa jirani zetu shida huezi chagua jirani ingekuwa inawezekana wangebadilishana position na Sudan ya Kusini.
 
tabia ya kuaminisha ulimwengu mlima Kilimanjaro uko Kenya wana mambo ya hovyo sana hawa jirani zetu shida huezi chagua jirani ingekuwa inawezekana wangebadilishana position na Sudan ya Kusini.
Hahaa hilo la kubadilishana majirani ata M7 aliliongelea. Alisema kuna watu mnakua karibu kwa kua ni majirani tu ila hamna undugu wa ukweli. Hili alilisema Ikulu ya Dar baada ya kukubali kupitisha pipeline Tz.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
tabia ya kuaminisha ulimwengu mlima Kilimanjaro uko Kenya wana mambo ya hovyo sana hawa jirani zetu shida huezi chagua jirani ingekuwa inawezekana wangebadilishana position na Sudan ya Kusini.
Hahahah hope you wouldnt mind then jirani zangu watani wangu always got love for you!!!! Watoto tuliofuatana!!!!!
 
Taarifa ya 2016 ya New world wealth and a bank from Mauritius!
Can't you guys come with reports from renowned sources?
Endeleeni kushangilia tabloids, we have World Bank and other credible organizations to rely on.
 
Hata darasani mkiwa mbumbumbu wote yule ana unafuu ndio atakuwa wa kwanza na wa pili and so on
 
Second world? Lower middle income economy, tena ni per capita ambazo ni mgawanyo wa fedha za uwekezaji. Dar unakaa wapi na Nairobi ulitembelea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…