Nairobi ranked 6th most wealthy city Africa after Durban, Cape Town, Cairo, Lagos and Johannesburg

Nairobi ranked 6th most wealthy city Africa after Durban, Cape Town, Cairo, Lagos and Johannesburg

Remember Mombasa ni ya pili Kenya na imezidi hadi Kigali na Bujumbura. Mwanza ambayo ni ya pili Tz sidhani kama inaweza fika hats KES 200 billion.

Halafu utambue Mombasa Population = 1.2 million na iko na $8 billion. That's $6,667 per capita.

Dar population = 5 million na iko na $25 billion.
That's $5,000 per capita. So practically Mombasa is richer than Dar.

Teh teh teh tihiii
not practically but theoretically.
 
Second world? Lower middle income economy, tena ni per capita ambazo ni mgawanyo wa fedha za uwekezaji. Dar unakaa wapi na Nairobi ulitembelea wapi?
Yeah thanks kwa taarifa lakini hiyo hiyo lower middle income si haba, sisi bado kidogo. Mkuu mi nakaa uswazi Chang'ombe,Tabata.
 
Mi ni Mtanzania niko Dar, na Nairobi nimeskilizia kidogo.Mwana jamaa wametuacha kiasi, tunawazidi mbwembwe za mdomoni tu kiukweli. Tukaze buti tutawafikia japo sio leo wala kesho, cuz ukicheki Kenya tayari ni second world economy sisi bado tunaskilizia third world level.Recently Kenyans prez ana make big moves za kiuchumi with US,UK and China.
hizo moves ndo zipi mi sioni chochote zaidi ya kuhaha tu hapo padogo ndo tunapopataka sisi shikilia hako kagap kanakowapa kiburi mwanzoni walikuwa wanatutisha tisha na kiingereza chao eti na confidence utumbo mtupu tutaendelea kuchonga ngenga wakati huo huo tukijenga nchi yetu Tanzania iko na potentials bro trust me, we only need visionary leaders, results oriented
 
Yeah thanks kwa taarifa lakini hiyo hiyo lower middle income si haba, sisi bado kidogo. Mkuu mi nakaa uswazi Chang'ombe,Tabata.
Na Nairobi ulitembelea wapi?
List of African countries by GDP PPP ( purchasing power parity) as recorded in 2018

1. Egypt
2. Nigeria
3. South Africa
4. Algeria
5. Morocco
6. Ethiopia
7. Angola
8. Sudan
9. Libya
10. Tanzania - 176.465 billions of international dollars
.
.
.
.
.
.
11. Kenya - 175.978
15. Uganda - 95.434
28. South Sudan - 35.254
35. Rwanda - 26.997
44. Burundi - 8.184
 
Remember Mombasa ni ya pili Kenya na imezidi hadi Kigali na Bujumbura. Mwanza ambayo ni ya pili Tz sidhani kama inaweza fika hats KES 200 billion.

Halafu utambue Mombasa Population = 1.2 million na iko na $8 billion. That's $6,667 per capita.

Dar population = 5 million na iko na $25 billion.
That's $5,000 per capita. So practically Mombasa is richer than Dar.
Mwanza umepadharau and lakin nivile hakuna hata taarifa zake[emoji23]
 
Hehehe kituko, yaani Dar hata haipo kwenye kumi bora sasa sijui kitu gani watu hujibizana kule kwa Dar vs Nairobi
Mi hata kuna thread zengine hua siendi, kama hio ya Dar Vs Nairobi. Mi hua naona kuendelea ku comment kwa thread kama hio ni kujishusha hadhi, like seriously Dar vs Nairobi! Really????? WTF
 
Mi hata kuna thread zengine hua siendi, kama hio ya Dar Vs Nairobi. Mi hua naona kuendelea ku comment kwa thread kama hio ni kujishusha hadhi, like seriously Dar vs Nairobi! Really????? WTF

Should be Dar vs Mombasa
 
Mi ni Mtanzania niko Dar, na Nairobi nimeskilizia kidogo.Mwana jamaa wametuacha kiasi, tunawazidi mbwembwe za mdomoni tu kiukweli. Tukaze buti tutawafikia japo sio leo wala kesho, cuz ukicheki Kenya tayari ni second world economy sisi bado tunaskilizia third world level.Recently Kenyans prez ana make big moves za kiuchumi with US,UK and China.
Hahahaha wewe kilaza umetokea wapi eti kenya ni nchi ya second World?!!?!? hujielewi kiufup kalale tu.
 
Welcome to Nairobi, the city that touches the clouds
 
Hahahaha wewe kilaza umetokea wapi eti kenya ni nchi ya second World?!!?!? hujielewi kiufup kalale tu.
Kuna jamaa kanielewesha kuwa ni lower middle income na akafafanua. We haujafafanua kitu.Kwa kifupi we ni mpumbavu tu
 
Mi hata kuna thread zengine hua siendi, kama hio ya Dar Vs Nairobi. Mi hua naona kuendelea ku comment kwa thread kama hio ni kujishusha hadhi, like seriously Dar vs Nairobi! Really????? WTF
Yes it should be like it's Kwan ww nani hasa ..Nbo imebadilika nn siku mbili hz? Pita hivi
 
The title should read, Kenyatta ranked 6th wealthiest in Africa after Durban, cape town, cairo, lagos and johannesburg
ona ujinga wako sasa...kenyatta ni city?
1537212624413.png
1537212624413.png
 
Na Nairobi ulitembelea wapi?
Teh teh sioni msingi wa kujibu hili, cuz naweza danganya na isisumbue. Focus katika kutueleza tumewazidi vipi labda tuna barabara nzuri zaidi yao,tuna makazi bora,vipato vya wakazi wa dar,huduma za afya,maji..., kuliko kutafuta personal details halafu uni attack kama Prof TzPowel. Maendeleo yetu kwa sasa naona kasi yake ni 80km/hr na mwisho kusafiri saa sita teh teh.
 
Back
Top Bottom