sodoliki
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,593
- 2,019
Dar kuna city? Ni taka taka tupu. Na mavi mitaroniHapa ni wivu na povu tu itawatoka watu fulani, wameanza Turkana ohh ehh, mara Kibera ohh., etc, all mentioned here are cities, Dar haipo!.,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar kuna city? Ni taka taka tupu. Na mavi mitaroniHapa ni wivu na povu tu itawatoka watu fulani, wameanza Turkana ohh ehh, mara Kibera ohh., etc, all mentioned here are cities, Dar haipo!.,
Hehehe, eti hadhi, my foot, mkenya ana hadhi gani?Mi hata kuna thread zengine hua siendi, kama hio ya Dar Vs Nairobi. Mi hua naona kuendelea ku comment kwa thread kama hio ni kujishusha hadhi, like seriously Dar vs Nairobi! Really????? WTF
Hehehe, Mimi huwa sielewi hawa jamaa eti wanaipa hadhi Mombasa,Mombasa nao ni mji eeh [emoji23] [emoji23]
We nawe unapenda vitu huviwez sasa jozi na nbo wap na wap mtashindana nn na wale ungekua na akil ungesema walau Pretoria japo nayenyewe itawachapa...iyo Lagos zaidi ya yale mafuta na pop kubwa na estates kadhaa hata Dar Ni bora kulikoKama Mji wako haujatajwa kumi bora, sioni sababu yako kuwa hapa kama utatukana wengine bila facts.
Dar ikashindane na Kampala na Mombasa. Nairobi ligi ya Cairo, Lagos, Jo'burg na Capetown.
Wacha sisi tupambane na miji mikubwa saizi yetu, nyie endeleeni na kina Kampala na Mombasa hapo ndipo mmefika.We nawe unapenda vitu huviwez sasa jozi na nbo wap na wap mtashindana nn na wale ungekua na akil ungesema walau Pretoria japo nayenyewe itawachapa...iyo Lagos zaidi ya yale mafuta na pop kubwa na estates kadhaa hata Dar Ni bora kuliko
Dar vs nbo perfect match..Wacha sisi tupambane na miji mikubwa saizi yetu, nyie endeleeni na kina Kampala na Mombasa hapo ndipo mmefika.
Nyinyi ligi ya Kampala na Mombasa sisi tupo Cairo, Johaneburg, Lagos na Capetown...na sio sisi tumesema ni dunia imeamua hivyo baada ya kuangalia vigezo na viashiria mbali mbali.Dar vs nbo perfect match..
Tutabanana nanyi hadi mkae sawa
Ni kama ile thread ya “Kenya ranked 2nd in Africa in logistics” .... hadi leo watanzania bado hua wanang’ang’ana ku post picha za project zao za logistics kama port expansion,pipelines,roads kana kwamba hua wanajiliwaza na hizo picha/projects zao..... lakini it doesnt make a difference! Hata wa post projects elfu moja, WB ilisha kagua na ikaona kwamba Kenya ni ya pili sub sahara Africa in logistics, period! Na si kama ambae kenya haina projects mpya zinazoendelea ambazo ni kubwa na nyingi kuliko hizo za Tz, so expect nothing to change in the next WB Logistical Performance Index, infact by 2025-2028 tunaipiku SA kwa logistics perfomance! Wtz waendelee ku post vi project vyao kwa thread ambazo zishaamua nani bingwaKama Mji wako haujatajwa kumi bora, sioni sababu yako kuwa hapa kama utatukana wengine bila facts.
Dar ikashindane na Kampala na Mombasa. Nairobi ligi ya Cairo, Lagos, Jo'burg na Capetown.
Ulikupeza lini huko Mombasa? Ulizia watu waliofika huko hivi majuzi wakuelezee ni nini kinafanyika, Next year huo mji usishangae ukitajwa kua cleanest town in KenyaHehehe, Mimi huwa sielewi hawa jamaa eti wanaipa hadhi Mombasa,
Aisee ukifika Mombasa utacheka ufe, pale ni kiwango kingine cha uchafu, hakuna mji pale.
Jipe moyo man,Kampala ilijiondoa yenyewe kwenye league hawana mafuta..Mombasa ata sijui unazungumzia port Au mji maana bado sanaNyinyi ligi ya Kampala na Mombasa sisi tupo Cairo, Johaneburg, Lagos na Capetown...na sio sisi tumesema ni dunia imeamua hivyo baada ya kuangalia vigezo na viashiria mbali mbali.
Sawa na ule wa Tanzania SGR kila siku ni the same videos lakini wakabadilisha tarehe kuwahadaa watanzania. Hivi mimi hujiuliza kwani watanzania hawana simu za kamera kuwawezesha hata waowenyewe kupiga picha maendeleo yanayotokea kando yao?Ni kama ile thread ya “Kenya ranked 2nd in Africa in logistics” .... hadi leo watanzania bado hua wanang’ang’ana ku post picha za project zao za logistics kama port expansion,pipelines,roads kana kwamba hua wanajiliwaza na hizo picha/projects zao..... lakini it doesnt make a difference! Hata wa post projects elfu moja, WB ilisha kagua na ikaona kwamba Kenya ni ya pili sub sahara Africa in logistics, period! Na si kama ambae kenya haina projects mpya zinazoendelea ambazo ni kubwa na nyingi kuliko hizo za Tz, so expect nothing to change in the next WB Logistical Performance Index, infact by 2025-2028 tunaipiku SA kwa logistics perfomance! Wtz waendelee ku post vi project vyao kwa thread ambazo zishaamua nani bingwa