Remember Mombasa ni ya pili Kenya na imezidi hadi Kigali na Bujumbura. Mwanza ambayo ni ya pili Tz sidhani kama inaweza fika hats KES 200 billion.
Halafu utambue Mombasa Population = 1.2 million na iko na $8 billion. That's $6,667 per capita.
Dar population = 5 million na iko na $25 billion.
That's $5,000 per capita. So practically Mombasa is richer than Dar.
Yeah thanks kwa taarifa lakini hiyo hiyo lower middle income si haba, sisi bado kidogo. Mkuu mi nakaa uswazi Chang'ombe,Tabata.Second world? Lower middle income economy, tena ni per capita ambazo ni mgawanyo wa fedha za uwekezaji. Dar unakaa wapi na Nairobi ulitembelea wapi?
hizo moves ndo zipi mi sioni chochote zaidi ya kuhaha tu hapo padogo ndo tunapopataka sisi shikilia hako kagap kanakowapa kiburi mwanzoni walikuwa wanatutisha tisha na kiingereza chao eti na confidence utumbo mtupu tutaendelea kuchonga ngenga wakati huo huo tukijenga nchi yetu Tanzania iko na potentials bro trust me, we only need visionary leaders, results orientedMi ni Mtanzania niko Dar, na Nairobi nimeskilizia kidogo.Mwana jamaa wametuacha kiasi, tunawazidi mbwembwe za mdomoni tu kiukweli. Tukaze buti tutawafikia japo sio leo wala kesho, cuz ukicheki Kenya tayari ni second world economy sisi bado tunaskilizia third world level.Recently Kenyans prez ana make big moves za kiuchumi with US,UK and China.
Na Nairobi ulitembelea wapi?Yeah thanks kwa taarifa lakini hiyo hiyo lower middle income si haba, sisi bado kidogo. Mkuu mi nakaa uswazi Chang'ombe,Tabata.
List of African countries by GDP PPP ( purchasing power parity) as recorded in 2018
1. Egypt
2. Nigeria
3. South Africa
4. Algeria
5. Morocco
6. Ethiopia
7. Angola
8. Sudan
9. Libya
10. Tanzania - 176.465 billions of international dollars
.
.
.
.
.
.
11. Kenya - 175.978
15. Uganda - 95.434
28. South Sudan - 35.254
35. Rwanda - 26.997
44. Burundi - 8.184
Ondoa hata posta kabisa bado Dar pako mbeleHay basi tuondoe Tazara na port of Dar si mnakuwa sawa na Mombasa.😉😉😉
Mwanza umepadharau and lakin nivile hakuna hata taarifa zake[emoji23]Remember Mombasa ni ya pili Kenya na imezidi hadi Kigali na Bujumbura. Mwanza ambayo ni ya pili Tz sidhani kama inaweza fika hats KES 200 billion.
Halafu utambue Mombasa Population = 1.2 million na iko na $8 billion. That's $6,667 per capita.
Dar population = 5 million na iko na $25 billion.
That's $5,000 per capita. So practically Mombasa is richer than Dar.
Mi hata kuna thread zengine hua siendi, kama hio ya Dar Vs Nairobi. Mi hua naona kuendelea ku comment kwa thread kama hio ni kujishusha hadhi, like seriously Dar vs Nairobi! Really????? WTFHehehe kituko, yaani Dar hata haipo kwenye kumi bora sasa sijui kitu gani watu hujibizana kule kwa Dar vs Nairobi
Mi hata kuna thread zengine hua siendi, kama hio ya Dar Vs Nairobi. Mi hua naona kuendelea ku comment kwa thread kama hio ni kujishusha hadhi, like seriously Dar vs Nairobi! Really????? WTF
Should be Dar vs Nairobi+Mombasa
Hahahaha wewe kilaza umetokea wapi eti kenya ni nchi ya second World?!!?!? hujielewi kiufup kalale tu.Mi ni Mtanzania niko Dar, na Nairobi nimeskilizia kidogo.Mwana jamaa wametuacha kiasi, tunawazidi mbwembwe za mdomoni tu kiukweli. Tukaze buti tutawafikia japo sio leo wala kesho, cuz ukicheki Kenya tayari ni second world economy sisi bado tunaskilizia third world level.Recently Kenyans prez ana make big moves za kiuchumi with US,UK and China.
Kuna jamaa kanielewesha kuwa ni lower middle income na akafafanua. We haujafafanua kitu.Kwa kifupi we ni mpumbavu tuHahahaha wewe kilaza umetokea wapi eti kenya ni nchi ya second World?!!?!? hujielewi kiufup kalale tu.
Mombasa nao ni mji eeh [emoji23] [emoji23]Should be Dar vs Mombasa
Yes it should be like it's Kwan ww nani hasa ..Nbo imebadilika nn siku mbili hz? Pita hiviMi hata kuna thread zengine hua siendi, kama hio ya Dar Vs Nairobi. Mi hua naona kuendelea ku comment kwa thread kama hio ni kujishusha hadhi, like seriously Dar vs Nairobi! Really????? WTF
[emoji2] [emoji2]Hahahaha wewe kilaza umetokea wapi eti kenya ni nchi ya second World?!!?!? hujielewi kiufup kalale tu.
ona ujinga wako sasa...kenyatta ni city?The title should read, Kenyatta ranked 6th wealthiest in Africa after Durban, cape town, cairo, lagos and johannesburg
Nairobi=kenyattaona ujinga wako sasa...kenyatta ni city?View attachment 869320View attachment 869320
Teh teh sioni msingi wa kujibu hili, cuz naweza danganya na isisumbue. Focus katika kutueleza tumewazidi vipi labda tuna barabara nzuri zaidi yao,tuna makazi bora,vipato vya wakazi wa dar,huduma za afya,maji..., kuliko kutafuta personal details halafu uni attack kama Prof TzPowel. Maendeleo yetu kwa sasa naona kasi yake ni 80km/hr na mwisho kusafiri saa sita teh teh.Na Nairobi ulitembelea wapi?
ignorance is a disease ndugu...Nairobi=kenyatta
Sasa kama 75% ya Nai ni ya kenyatta buda. The ramining 25% ambayo ni kibera ndio wakenya wengine wanamiliki.ignorance is a disease ndugu...