Nairobi ranked 6th most wealthy city Africa after Durban, Cape Town, Cairo, Lagos and Johannesburg

Hapa ni wivu na povu tu itawatoka watu fulani, wameanza Turkana ohh ehh, mara Kibera ohh., etc, all mentioned here are cities, Dar haipo!.,
Dar kuna city? Ni taka taka tupu. Na mavi mitaroni
 
Kama Mji wako haujatajwa kumi bora, sioni sababu yako kuwa hapa kama utatukana wengine bila facts.
Dar ikashindane na Kampala na Mombasa. Nairobi ligi ya Cairo, Lagos, Jo'burg na Capetown.
 
Mi hata kuna thread zengine hua siendi, kama hio ya Dar Vs Nairobi. Mi hua naona kuendelea ku comment kwa thread kama hio ni kujishusha hadhi, like seriously Dar vs Nairobi! Really????? WTF
Hehehe, eti hadhi, my foot, mkenya ana hadhi gani?
 
Reactions: Oii
Mombasa nao ni mji eeh [emoji23] [emoji23]
Hehehe, Mimi huwa sielewi hawa jamaa eti wanaipa hadhi Mombasa,
Aisee ukifika Mombasa utacheka ufe, pale ni kiwango kingine cha uchafu, hakuna mji pale.
 
Kama Mji wako haujatajwa kumi bora, sioni sababu yako kuwa hapa kama utatukana wengine bila facts.
Dar ikashindane na Kampala na Mombasa. Nairobi ligi ya Cairo, Lagos, Jo'burg na Capetown.
We nawe unapenda vitu huviwez sasa jozi na nbo wap na wap mtashindana nn na wale ungekua na akil ungesema walau Pretoria japo nayenyewe itawachapa...iyo Lagos zaidi ya yale mafuta na pop kubwa na estates kadhaa hata Dar Ni bora kuliko
 
Wacha sisi tupambane na miji mikubwa saizi yetu, nyie endeleeni na kina Kampala na Mombasa hapo ndipo mmefika.
 
Wacha sisi tupambane na miji mikubwa saizi yetu, nyie endeleeni na kina Kampala na Mombasa hapo ndipo mmefika.
Dar vs nbo perfect match..
Tutabanana nanyi hadi mkae sawa
 
Dar vs nbo perfect match..
Tutabanana nanyi hadi mkae sawa
Nyinyi ligi ya Kampala na Mombasa sisi tupo Cairo, Johaneburg, Lagos na Capetown...na sio sisi tumesema ni dunia imeamua hivyo baada ya kuangalia vigezo na viashiria mbali mbali.
 
Kama Mji wako haujatajwa kumi bora, sioni sababu yako kuwa hapa kama utatukana wengine bila facts.
Dar ikashindane na Kampala na Mombasa. Nairobi ligi ya Cairo, Lagos, Jo'burg na Capetown.
Ni kama ile thread ya “Kenya ranked 2nd in Africa in logistics” .... hadi leo watanzania bado hua wanang’ang’ana ku post picha za project zao za logistics kama port expansion,pipelines,roads kana kwamba hua wanajiliwaza na hizo picha/projects zao..... lakini it doesnt make a difference! Hata wa post projects elfu moja, WB ilisha kagua na ikaona kwamba Kenya ni ya pili sub sahara Africa in logistics, period! Na si kama ambae kenya haina projects mpya zinazoendelea ambazo ni kubwa na nyingi kuliko hizo za Tz, so expect nothing to change in the next WB Logistical Performance Index, infact by 2025-2028 tunaipiku SA kwa logistics perfomance! Wtz waendelee ku post vi project vyao kwa thread ambazo zishaamua nani bingwa
 
Hehehe, Mimi huwa sielewi hawa jamaa eti wanaipa hadhi Mombasa,
Aisee ukifika Mombasa utacheka ufe, pale ni kiwango kingine cha uchafu, hakuna mji pale.
Ulikupeza lini huko Mombasa? Ulizia watu waliofika huko hivi majuzi wakuelezee ni nini kinafanyika, Next year huo mji usishangae ukitajwa kua cleanest town in Kenya
 
Nyinyi ligi ya Kampala na Mombasa sisi tupo Cairo, Johaneburg, Lagos na Capetown...na sio sisi tumesema ni dunia imeamua hivyo baada ya kuangalia vigezo na viashiria mbali mbali.
Jipe moyo man,Kampala ilijiondoa yenyewe kwenye league hawana mafuta..Mombasa ata sijui unazungumzia port Au mji maana bado sana
 
Sawa na ule wa Tanzania SGR kila siku ni the same videos lakini wakabadilisha tarehe kuwahadaa watanzania. Hivi mimi hujiuliza kwani watanzania hawana simu za kamera kuwawezesha hata waowenyewe kupiga picha maendeleo yanayotokea kando yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…