Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa upande mmoja napenda huo mfumo wa Nairobi, ni kama unahakikisha ambao hawana ulazima wa kuwahi mjini hawagombanii daladala na ambao wanawahi mida ya kazi, hivyo hivyo mida ya jioni waliomaliza mishe zao wanachomoka mapema kusave nauli, kama regulation flani hivi.... nadhani ndo maana hamgombanii daladala kama huku bongo. Tatizo ni moja, wafanyakazi wanaowahi na kuchelewa kuondoka town always nauli wanatumia kubwa sana.Najua hilo, Nairobi nauli hubadilika kulingana na wakati afu pia nauli hutozwa kulingana na mtaa unakokwenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mfumo ungetumika kwenye mwendo kasi, tusingukua tunasafirishwa kama mihogo vile! Kuna watu nina uhakika wanazunguka zunguka tu kariakoo hadi jioni bila ishu za msingi alafu baadae tunagombania usafiri, hakuwezi kukawa na ustaarabu hata siku moja!
Unakurupuka mno,uwe unapitia comments. Btw endeleen kupost izo picha to infinityWhy are Tanzanians posting the picture of Dar es Salaam here. I thought this was for Nairobi. Please have respect guys. If you want to post Dar es Salaam pictures please go and do it in your own section
Niliona jinsi watu wanavyopangana Kwa hizo mwendokasi kama mihogo nikaogopa,hivi huwezi ibiwa ela kutoka mfukoni? Maadam kule kufinyana hata kupumua ni tatizo.Kwa upande mmoja napenda huo mfumo wa Nairobi, ni kama unahakikisha ambao hawana ulazima wa kuwahi mjini hawagombanii daladala na ambao wanawahi mida ya kazi, hivyo hivyo mida ya jioni waliomaliza mishe zao wanachomoka mapema kusave nauli, kama regulation flani hivi.... nadhani ndo maana hamgombanii daladala kama huku bongo. Tatizo ni moja, wafanyakazi wanaowahi na kuchelewa kuondoka town always nauli wanatumia kubwa sana.
Huu mfumo ungetumika kwenye mwendo kasi, tusingukua tunasafirishwa kama mihogo vile! Kuna watu nina uhakika wanazunguka zunguka tu kariakoo hadi jioni bila ishu za msingi alafu baadae tunagombania usafiri, hakuwezi kukawa na ustaarabu hata siku moja!
Usafiri ndani ya jiji la Nairobi ni wa gharama mno haswa kama mvua imenyesha ,nauli inapandishwa mara dhufu.Kwa upande mmoja napenda huo mfumo wa Nairobi, ni kama unahakikisha ambao hawana ulazima wa kuwahi mjini hawagombanii daladala na ambao wanawahi mida ya kazi, hivyo hivyo mida ya jioni waliomaliza mishe zao wanachomoka mapema kusave nauli, kama regulation flani hivi.... nadhani ndo maana hamgombanii daladala kama huku bongo. Tatizo ni moja, wafanyakazi wanaowahi na kuchelewa kuondoka town always nauli wanatumia kubwa sana.
Huu mfumo ungetumika kwenye mwendo kasi, tusingukua tunasafirishwa kama mihogo vile! Kuna watu nina uhakika wanazunguka zunguka tu kariakoo hadi jioni bila ishu za msingi alafu baadae tunagombania usafiri, hakuwezi kukawa na ustaarabu hata siku moja!
tatizo ustaarabu wa kupanda yale mabasi ni mdogo sana. Mwanzoni kabisa tulikua tunapanda kwa foleni ila saivi ni scramble for seats. Ka tabia kashajengeka.Niliona jinsi watu wanavyopangana Kwa hizo mwendokasi kama mihogo nikaogopa,hivi huwezi ibiwa ela kutoka mfukoni? Maadam kule kufinyana hata kupumua ni tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo ustaarabu wa kupanda yale mabasi ni mdogo sana. Mwanzoni kabisa tulikua tunapanda kwa foleni ila saivi ni scramble for seats. Ka tabia kashajengeka ka kurundamana, ukijifanya mstaarabu utakaa kituoni masaa kadhaa