Nairobi: The City in the sun

Nairobi: The City in the sun

4c38ff552cbfc55909ad3b24d38cdc46.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua hilo, Nairobi nauli hubadilika kulingana na wakati afu pia nauli hutozwa kulingana na mtaa unakokwenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande mmoja napenda huo mfumo wa Nairobi, ni kama unahakikisha ambao hawana ulazima wa kuwahi mjini hawagombanii daladala na ambao wanawahi mida ya kazi, hivyo hivyo mida ya jioni waliomaliza mishe zao wanachomoka mapema kusave nauli, kama regulation flani hivi.... nadhani ndo maana hamgombanii daladala kama huku bongo. Tatizo ni moja, wafanyakazi wanaowahi na kuchelewa kuondoka town always nauli wanatumia kubwa sana.
Hapa dar nauli hazibadiliki

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mfumo ungetumika kwenye mwendo kasi, tusingukua tunasafirishwa kama mihogo vile! Kuna watu nina uhakika wanazunguka zunguka tu kariakoo hadi jioni bila ishu za msingi alafu baadae tunagombania usafiri, hakuwezi kukawa na ustaarabu hata siku moja!
 
Why are Tanzanians posting the picture of Dar es Salaam here. I thought this was for Nairobi. Please have respect guys. If you want to post Dar es Salaam pictures please go and do it in your own section
Unakurupuka mno,uwe unapitia comments. Btw endeleen kupost izo picha to infinity

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Kwa upande mmoja napenda huo mfumo wa Nairobi, ni kama unahakikisha ambao hawana ulazima wa kuwahi mjini hawagombanii daladala na ambao wanawahi mida ya kazi, hivyo hivyo mida ya jioni waliomaliza mishe zao wanachomoka mapema kusave nauli, kama regulation flani hivi.... nadhani ndo maana hamgombanii daladala kama huku bongo. Tatizo ni moja, wafanyakazi wanaowahi na kuchelewa kuondoka town always nauli wanatumia kubwa sana.

Huu mfumo ungetumika kwenye mwendo kasi, tusingukua tunasafirishwa kama mihogo vile! Kuna watu nina uhakika wanazunguka zunguka tu kariakoo hadi jioni bila ishu za msingi alafu baadae tunagombania usafiri, hakuwezi kukawa na ustaarabu hata siku moja!
Niliona jinsi watu wanavyopangana Kwa hizo mwendokasi kama mihogo nikaogopa,hivi huwezi ibiwa ela kutoka mfukoni? Maadam kule kufinyana hata kupumua ni tatizo.

Usafiri ndani ya jiji la Nairobi ni wa gharama mno haswa kama mvua imenyesha ,nauli inapandishwa mara dhufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliona jinsi watu wanavyopangana Kwa hizo mwendokasi kama mihogo nikaogopa,hivi huwezi ibiwa ela kutoka mfukoni? Maadam kule kufinyana hata kupumua ni tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo ustaarabu wa kupanda yale mabasi ni mdogo sana. Mwanzoni kabisa tulikua tunapanda kwa foleni ila saivi ni scramble for seats. Ka tabia kashajengeka.
 
tatizo ustaarabu wa kupanda yale mabasi ni mdogo sana. Mwanzoni kabisa tulikua tunapanda kwa foleni ila saivi ni scramble for seats. Ka tabia kashajengeka ka kurundamana, ukijifanya mstaarabu utakaa kituoni masaa kadhaa
 
Back
Top Bottom