Nairobi: The City in the sun

Nairobi: The City in the sun

Moi Avenue
1effda6d32b86312c686a2aaa6be8249.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha acha kulazimisha vihoja,mayb nikifanya masters nawaza nikajaribu maisha Australia,we unawaza vitu vya kijinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Silazimishi hoja wala siwazi vitu vya kijinga huo ndio ukweli kaka,kila mtanzania anatamani Tu afike Kenya hata ukiwaza kwenda Australia lazima ufike Nairobi.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kufika NBO kuna tofaut gani na mm kwenda nyumban Moshi? Nauli yake tu hata JD ghali [emoji23] [emoji23], tena unaenda asbh unarudi jion sio ndoto ni ratiba tu sijaipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufika NBO kuna tofaut gani na mm kwenda nyumban Moshi? Nauli yake tu hata JD ghali [emoji23] [emoji23], tena unaenda asbh unarudi jion sio ndoto ni ratiba tu sijaipata

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha story za vijiweni kaka , tofauti ipo tena kubwa sana maana Moshi ni Tanzania na Nairobi ni Kenya afu Nairobi is to expensive lazima uwe na budget kubwa ndio utafurahia Raha ya Kenya na Hilo limekua kikwazo Kwa watanzania wengi maana hawana ela ya kuzuru Kenya.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Acha story za vijiweni kaka , tofauti ipo tena kubwa sana maana Moshi ni Tanzania na Nairobi ni Kenya afu Nairobi is to expensive lazima uwe na budget kubwa ndio utafurahia Raha ya Kenya na Hilo limekua kikwazo Kwa watanzania wengi maana hawana ela ya kuzuru Kenya.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kutoka Arusha hadi NBO kuna umbali gani?budget kitu gani wala sio lazima nikae mda mrefu,ukiamua kuja hapo hata $300 ni nyingi sana unapiga bata ikibaki nauli unasepa,Watu wengi huoga vurugu na vile polisi wenu huchachafya watz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom