Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Hahaaa! Uswahilini kupi kutamu,Pale gongolamboto unakoishi? Labda utamu wa kucheza segere na chakacha maana Nairobi hivyo havipo.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa! Uswahilini kupi kutamu,Pale gongolamboto unakoishi? Labda utamu wa kucheza segere na chakacha maana Nairobi hivyo havipo.
Naja ili tuyajenge si wajua katikati ya morogoro kutamu mwanangu.Sasa wewe injinia unayejenga slum Nairobi unakuja dar ili ujenge kitugani hakuna slum huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanakufaa wie maana Leo hii huwezi ukaenda new York bila kuja Nairobi,huduma zote za UN utazipata Tu Nairobi na mambo mengine kibao Tu.NBO ni mji wa Kenya, Hakuna kitu tunategemea NBO ndio mambo yetuyaende,haya naneno yangemfaa zaidi mkazi wa eldoret Au thika
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka huko uswahilini uje Nairobi ukajionee Kwa macho usisubiri kwambiwa,upo?.Una sound like Nbo ndio Jiji pekee Africa mashariki kitu ambacho hakipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka huko uswahilini uje Nairobi ukajionee Kwa macho usisubiri kwambiwa,upo?.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Sina chakufuata hapo.Yanakufaa wie maana Leo hii huwezi ukaenda new York bila kuja Nairobi,huduma zote za UN utazipata Tu Nairobi na mambo mengine kibao Tu.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Siishi uswahilinToka huko uswahilini uje Nairobi ukajionee Kwa macho usisubiri kwambiwa,upo?.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hahaha acha kulazimisha vihoja,mayb nikifanya masters nawaza nikajaribu maisha Australia,we unawaza vitu vya kijinga sana
Silazimishi hoja wala siwazi vitu vya kijinga huo ndio ukweli kaka,kila mtanzania anatamani Tu afike Kenya hata ukiwaza kwenda Australia lazima ufike Nairobi.Hahaha acha kulazimisha vihoja,mayb nikifanya masters nawaza nikajaribu maisha Australia,we unawaza vitu vya kijinga sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufika NBO kuna tofaut gani na mm kwenda nyumban Moshi? Nauli yake tu hata JD ghali [emoji23] [emoji23], tena unaenda asbh unarudi jion sio ndoto ni ratiba tu sijaipataSilazimishi hoja wala siwazi vitu vya kijinga huo ndio ukweli kaka,kila mtanzania anatamani Tu afike Kenya hata ukiwaza kwenda Australia lazima ufike Nairobi.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ahaa! Makongo juu! Ile Tu physical fitness center ndio ninayoipenda makongo juu vinginevyo hamna kitu makongo juu.
Yeah road wanatuzingua nayo kinyama.Kuna mijumba watu wamejenga hata usiposema
Acha story za vijiweni kaka , tofauti ipo tena kubwa sana maana Moshi ni Tanzania na Nairobi ni Kenya afu Nairobi is to expensive lazima uwe na budget kubwa ndio utafurahia Raha ya Kenya na Hilo limekua kikwazo Kwa watanzania wengi maana hawana ela ya kuzuru Kenya.Kufika NBO kuna tofaut gani na mm kwenda nyumban Moshi? Nauli yake tu hata JD ghali [emoji23] [emoji23], tena unaenda asbh unarudi jion sio ndoto ni ratiba tu sijaipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ! Pambaneni na hali zenu.Yeah road wanatuzingua nayo kinyama.Kuna mijumba watu wamejenga hata usiposema
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka Arusha hadi NBO kuna umbali gani?budget kitu gani wala sio lazima nikae mda mrefu,ukiamua kuja hapo hata $300 ni nyingi sana unapiga bata ikibaki nauli unasepa,Watu wengi huoga vurugu na vile polisi wenu huchachafya watzAcha story za vijiweni kaka , tofauti ipo tena kubwa sana maana Moshi ni Tanzania na Nairobi ni Kenya afu Nairobi is to expensive lazima uwe na budget kubwa ndio utafurahia Raha ya Kenya na Hilo limekua kikwazo Kwa watanzania wengi maana hawana ela ya kuzuru Kenya.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app