Nairobi The Cleanest city in Africa!!...wow

Nairobi The Cleanest city in Africa!!...wow

Nimekugusa kidogo ukaarisha.You should first invest in modern trucks to make your city clean. Hamuwezi kubeba uchafu kwenye malori alafu mkaifikia hata Dar es salaam. Tuweke report ya WHO??

Leta hiyo ripoti ya who. Leta tu. Bora isiwe ile ya Millard ayo au Mchuzi blogg.

Nai kwa uchaff haizidi Dar, manake Dar imeorodheshwa among the filthiest in the world.
 
Kitu hata haihusu Tanzania, kuna mitanzania itafululiza huku kuifanya iwe kuhusu Kenya vs Tanzania, au sijui Kibera as if huko Tz hamna slums, na picha za angani zinaonyesha Dar ni 80% full of slums and takataka!

Microsoft imesema....

15 Dirtiest Cities in the World
 
Leta hiyo ripoti ya who. Leta tu. Bora isiwe ile ya Millard ayo au Mchuzi blogg.

Nai kwa uchaff haizidi Dar, manake Dar imeorodheshwa among the filthiest in the world.
Usinifanye nicheke. Pili tunatoa hoja kwa sababu mnataka kutudanganya. Acheni uwongo humu tumesha sema.

List ya miji 39 michafu Africa iliyotolewa na World Health Organizatio (WHO) 2017. Africa mashariki Uganda Kampala nafasi ya 5, Tanzania Morogoro nafasi 33, Kenya Nairobi 35. Kwa hi list inaonyesha Dar es salaam haipo kabisa. Sikunyingine msilete cooked info humu. Hapo wameweka miji yote Africa kinara akiwa Nigeria kwa uchafu. Hamia Niger forum.

Ina bidi kwanza mfanye usafi muipite hiyo miji mingine before you even think of Dar es salaam. Hahaaaaa. WHO
Screenshot_2017-08-16-15-10-38.png
Next time msitulete ndoto humu. Those are dreams.
 
Usinifanye nicheke. Pili tunatoa hoja kwa sababu mnataka kutudanganya. Acheni uwongo humu tumesha sema.

List ya miji 39 michafu Africa iliyotolewa na World Health Organizatio (WHO) 2017. Africa mashariki Uganda Kampala nafasi ya 5, Tanzania Morogoro nafasi 33, Kenya Nairobi 35. Kwa hi list inaonyesha Dar es salaam haipo kabisa. Sikunyingine msilete cooked info humu. Hapo wameweka miji yote Africa kinara akiwa Nigeria kwa uchafu. Hamia Niger forum.

Ina bidi kwanza mfanye usafi muipite hiyo miji mingine before you even think of Dar es salaam. Hahaaaaa. WHOView attachment 567789 Next time msitulete ndoto humu. Those are dreams.

Leta link ya WHO, siyo hayo mambo ya Millardayo.

Weka link na uache ukora, no screenshots.
 
Leta link ya WHO, siyo hayo mambo ya Millardayo.

Weka link na uache ukora, no screenshots.
Hahahaa. Tulia sindano ikuingie. Ukiona nimetia guu langu kwenye forum jua na evidence na source za kutisha. I don't talk brah brah kamanie na cooked figures.Pia kuhusu screenshots ungeanza kwanza naalie leta thread kwani pia katumia screenshots. Hatuna muda wakusubilia hadi kitu ki download we care about our time. Screenshot saves a lot pia MB zetu hazitumiki hovyo ku download mambo ya ku proof ujinga kama huu mnaotwambia. With that said wewe ndo Mkora number 1. Alafu huo usafi wakisiasa hauna tija. Angalia watu wanaofanya usafi wamevaa T-shirt za Jubilee that means hamja shugulisha jamii nzima. Its only in Kenya where thieves are elected back into leadership. Eti Sonko!!
images-1.jpeg
 
Tanzania hakuna mji wenye uchafu kiasi hiki barabarani. This is Nairobi.Acha sasa niwalipue ukimia wetu sio kwamba hatuijui Nairobi vizuri. Its only in Kenya were thieves are elected back into leadership. Eti Sonko!!
c22be02fd6083d82a47d39741c430a3b.jpg

a2c61200d694ffba64ca095689b175c0.jpg
 
Usafi wa miji sio malori tu..ni kua na mpangilio mzuri wa shughuli zote za mji husika...kwa Nairobi utaratibu wa ssa umeligeuza jiji kua jalala...its should be collective effort zianzie kwa estate mpaka city center ikiwemo kuweka sehemu za kukusanya taka na kuzipeleka dampo kwa wakati, pia faini kali kwa watakaokiuka sheria au utaratibu utakaowekwa...gari z abiria waweke dust bins...kutengeneza njia za maji ya mvua mji mzima...kua na mpangalio mzuri wa ma hawkers...sewage inaelemewa pia yafaa kuitanua kumudu uwezo...kuanzisha BRT maana ilivyo sasa mitaa karibia yote Nairobi imegeuzwa vituo vya daladala...kua na stedi kuu moja ya mabasi yaedayo mikoani na ncho jirani...usafi kwenye masoko uwe wa hali juu...kujenga pia soko lingine manaana kwa sasa Marikiti limeelemewa limekua ndogo na chafu sana...kua na machinjio ya kisasa...kuimarisha ulinzi ili wafanya usafi waweze kuedelea na kazi hata usiku...na elimu ya usafi iwe ni lazima shule zote...pia sio vimbaya kujifuza kwa waliofanikiwa kuweka miji yao safi kama Kigali, Moshi(sio jiji japo ni kusafi sana na Tororo Uganda
 
Tanzania hakuna mji wenye uchafu kiasi hiki barabarani. This is Nairobi.Acha sasa niwalipue ukimia wetu sio kwamba hatuijui Nairobi vizuri. Its only in Kenya were thieves are elected back into leadership. Eti Sonko!!View attachment 567857
Kama nimemuelewa mleta mada, kasema Nairobi chini ya uongozi wa gavana Mike Sonko itakuwa jiji safi zaidi duniani. Hajakataa kwamba Nairobi haikuwa chafu kabla, kwa hiyo sioni mantiki ya kuanza kubishana na kuleta mapicha humu. Waacheni Wana Nairobi wasafishe mji wao. Time will tell...

Tuhangaike na Dar Es Salaam yetu maana hata sisi tunayo matatizo yetu makubwa...
 
Leta hiyo ripoti ya who. Leta tu. Bora isiwe ile ya Millard ayo au Mchuzi blogg.

Nai kwa uchaff haizidi Dar, manake Dar imeorodheshwa among the filthiest in the world.

Mbona unajishughulisha na wale wanaotaka kubadilisha mada. Ignore them. Hawa ni watu wenye roho za chuki. Wao kila kitu wantaka iwe Mapishano. Hapa tupo kwa Kidero vs Sonko na mwengine aleta Dar vs Nairobi. Wengine hawasaidiki
 
True ni kuchafu sana but lazima afanye wenyeji Nrb wabadili tabia pia huwezi weka malori ya takataka na personnel wa kazi bila ku-change tabia mbaya za watu .To clean up Nrb has to be an all inclusive effort.
yeah hii ni kazi nyingi....yeye na Rescue team hawataweza pekee yao but we welcome the efforts by the honorable governor...this city, once clean, will be very beautiful.. more than it already is...it already has a lot of global respect...i also want the campaign pics to be banned from some places...zinachoma jina sana...
 
Umeanzazisha thread ukaanza pia Ku comment mwenyewe. Unajitekenya na kucheka mwenyewe. Pili sahau kwa mji wowote EA kuufikia Kigali kutokana na huo mji kuwa mdogo sana. Wilaya ya Ilala tu hapa Dar nikubwa kwa Kigali. Kigali kwa miguu unatembea unaimaliza CBD kwa hiyo nirahisi sana kufanya usafi. Huwezi linganisha Kigali hata na Kampala. Inaonekana hujawahi fika Kigali.

Fact Check
Ilala = 270sqkm
Kigali = 740sqkm
 
Hahahaa. Tulia sindano ikuingie. Ukiona nimetia guu langu kwenye forum jua na evidence na source za kutisha. I don't talk brah brah kamanie na cooked figures.Pia kuhusu screenshots ungeanza kwanza naalie leta thread kwani pia katumia screenshots. Hatuna muda wakusubilia hadi kitu ki download we care about our time. Screenshot saves a lot pia MB zetu hazitumiki hovyo ku download mambo ya ku proof ujinga kama huu mnaotwambia. With that said wewe ndo Mkora number 1. Alafu huo usafi wakisiasa hauna tija. Angalia watu wanaofanya usafi wamevaa T-shirt za Jubilee that means hamja shugulisha jamii nzima. Its only in Kenya where thieves are elected back into leadership. Eti Sonko!!View attachment 567846

Leta link wewe acha kutapatapa.
 
yeah hii ni kazi nyingi....yeye na Rescue team hawataweza pekee yao but we welcome the efforts by the honorable governor...this city, once clean, will be very beautiful.. more than it already is...it already has a lot of global respect...i also want the campaign pics to be banned from some places...zinachoma jina sana...
Hii mambo ya Sonko rescue team kusafisha ma-posters inaudhi sana.Why do we let campaign teams deface the city ,stick posters anywhere halafu kusafisha ni kazi ya Sonko pekee yake? All those candidates should be made to clean up or be fined heavilly.
 
Usinifanye nicheke. Pili tunatoa hoja kwa sababu mnataka kutudanganya. Acheni uwongo humu tumesha sema.

List ya miji 39 michafu Africa iliyotolewa na World Health Organizatio (WHO) 2017. Africa mashariki Uganda Kampala nafasi ya 5, Tanzania Morogoro nafasi 33, Kenya Nairobi 35. Kwa hi list inaonyesha Dar es salaam haipo kabisa. Sikunyingine msilete cooked info humu. Hapo wameweka miji yote Africa kinara akiwa Nigeria kwa uchafu. Hamia Niger forum.

Ina bidi kwanza mfanye usafi muipite hiyo miji mingine before you even think of Dar es salaam. Hahaaaaa. WHOView attachment 567789 Next time msitulete ndoto humu. Those are dreams.
Kuna gora flani la watz kama kina anneal hapa jf hua nawa avoid kabisa manake sijui kama huwa ni maksudi wanajifanya hawaelewi au ni tu hawana uwezo wa kuelewa.... Sijui kama we ni mmoja wao,???
rudi pale ulipotoa hio screenshot usome tena hio ripoti alafu uje uniambie ni wapi hio ripoti imetaja takataka/garbage ...... Hio ripoti haionfelei uchafu wa takataka kabisa! Ripoti hio inaongelea uchafu wa aina nyengine ambao hauonekani, yani air quality...... Air quality inasanabishwa na vitu kama magari mengi ndani ya mji mdogo (kijiografia) kama Nairobi yanatoa toxics kwa moshi wa exhaust pipe, viwanda vingi vya kutengeneza plastics, oil products kama vasseln, rubber shoes, engine oil......... Hivyo vitu ndo vinachangia zaidi kabisa kuharibu air quality.....

Ndio maana kwa hio list ya WHO unaona miji mikuu yote ya South Africa iko kwenye hio list manake kule wako industrialised, makampuni ya magari, gari za kivita, kutengeneza mabomu, ku yeyusha dhahabu na shaba wakitumia coal inayopatikana huko....etc

Hiyo miji yote ya SA uionayo hapo ni misafi kabisa ikija kwa takataka
 
Back
Top Bottom