Nairobi The Cleanest city in Africa!!...wow

Nairobi The Cleanest city in Africa!!...wow

Nairobi haitoshani kama hio fishing village ya Dar. Malori mbili hayawezi tosha Nairobi.
Sasa hivi kuna 'modern' trucks lakini machache.
Inaongezwa pole pole. Priority ni kuondoa uchafu urgently.
Dar ndio inayoongoza kwa usafi imeipita Nairobi according to WHO
 
Leta hiyo ripoti ya who. Leta tu. Bora isiwe ile ya Millard ayo au Mchuzi blogg.

Nai kwa uchaff haizidi Dar, manake Dar imeorodheshwa among the filthiest in the world.
Sasa Nairobi mbona ndio makapurwa sugu wa East Africa Dar ipo juu yenu thousands
 
Kama nimemuelewa mleta mada, kasema Nairobi chini ya uongozi wa gavana Mike Sonko itakuwa jiji safi zaidi duniani. Hajakataa kwamba Nairobi haikuwa chafu kabla, kwa hiyo sioni mantiki ya kuanza kubishana na kuleta mapicha humu. Waacheni Wana Nairobi wasafishe mji wao. Time will tell...

Tuhangaike na Dar Es Salaam yetu maana hata sisi tunayo matatizo yetu makubwa...
Acha kupangia watu cha kupost hujamnunulia mtu bando
 
Nairobi slid so much backwards that Sonko may need like 2 years returning it to Gakuo era. All the best
 
kwani huu uzi ulikuwa wa comparison kati nai na dar is slum tena
 
Nairobi slid so much backwards that Sonko may need like 2 years returning it to Gakuo era. All the best
Mimi niliona dalili zamani kua Nairobi ita-slide nyuma wakati niliona Kidero anaingiliwa sana na chama chake kwa kukosa mikutano yao mingi ya kisiasa.Service delivery to taxpayers was 2nd to their interests.

Nairobi inahitaji jamaa mwenye kiboko kubwa Muchuki style .Na sio tuache juhidi kwa usafi tu pekee we need to instill a maintanance culture na pia better planning & organization bila wachuuzi kila sehemu ya barabara.
 
Back
Top Bottom