Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Nimekugusa kidogo ukaarisha.You should first invest in modern trucks to make your city clean. Hamuwezi kubeba uchafu kwenye malori alafu mkaifikia hata Dar es salaam. Tuweke report ya WHO??
Usinifanye nicheke. Pili tunatoa hoja kwa sababu mnataka kutudanganya. Acheni uwongo humu tumesha sema.Leta hiyo ripoti ya who. Leta tu. Bora isiwe ile ya Millard ayo au Mchuzi blogg.
Nai kwa uchaff haizidi Dar, manake Dar imeorodheshwa among the filthiest in the world.
Usinifanye nicheke. Pili tunatoa hoja kwa sababu mnataka kutudanganya. Acheni uwongo humu tumesha sema.
List ya miji 39 michafu Africa iliyotolewa na World Health Organizatio (WHO) 2017. Africa mashariki Uganda Kampala nafasi ya 5, Tanzania Morogoro nafasi 33, Kenya Nairobi 35. Kwa hi list inaonyesha Dar es salaam haipo kabisa. Sikunyingine msilete cooked info humu. Hapo wameweka miji yote Africa kinara akiwa Nigeria kwa uchafu. Hamia Niger forum.
Ina bidi kwanza mfanye usafi muipite hiyo miji mingine before you even think of Dar es salaam. Hahaaaaa. WHOView attachment 567789 Next time msitulete ndoto humu. Those are dreams.
Hahahaa. Tulia sindano ikuingie. Ukiona nimetia guu langu kwenye forum jua na evidence na source za kutisha. I don't talk brah brah kamanie na cooked figures.Pia kuhusu screenshots ungeanza kwanza naalie leta thread kwani pia katumia screenshots. Hatuna muda wakusubilia hadi kitu ki download we care about our time. Screenshot saves a lot pia MB zetu hazitumiki hovyo ku download mambo ya ku proof ujinga kama huu mnaotwambia. With that said wewe ndo Mkora number 1. Alafu huo usafi wakisiasa hauna tija. Angalia watu wanaofanya usafi wamevaa T-shirt za Jubilee that means hamja shugulisha jamii nzima. Its only in Kenya where thieves are elected back into leadership. Eti Sonko!!Leta link ya WHO, siyo hayo mambo ya Millardayo.
Weka link na uache ukora, no screenshots.
ha haha haWewe ulisharogwa, huwa unakera mpaka kwenye mapumbu.
Kama nimemuelewa mleta mada, kasema Nairobi chini ya uongozi wa gavana Mike Sonko itakuwa jiji safi zaidi duniani. Hajakataa kwamba Nairobi haikuwa chafu kabla, kwa hiyo sioni mantiki ya kuanza kubishana na kuleta mapicha humu. Waacheni Wana Nairobi wasafishe mji wao. Time will tell...Tanzania hakuna mji wenye uchafu kiasi hiki barabarani. This is Nairobi.Acha sasa niwalipue ukimia wetu sio kwamba hatuijui Nairobi vizuri. Its only in Kenya were thieves are elected back into leadership. Eti Sonko!!View attachment 567857
Alikua senator lakini kidero alikua amemkaba sana hangefanya chochote
Leta hiyo ripoti ya who. Leta tu. Bora isiwe ile ya Millard ayo au Mchuzi blogg.
Nai kwa uchaff haizidi Dar, manake Dar imeorodheshwa among the filthiest in the world.
True ni kuchafu sana but lazima afanye wenyeji Nrb wabadili tabia pia huwezi weka malori ya takataka na personnel wa kazi bila ku-change tabia mbaya za watu .To clean up Nrb has to be an all inclusive effort.duh ana kazi...nairobi kwa kweli ni mjimchafu sana...hope ataweza kutatua hilo
yeah hii ni kazi nyingi....yeye na Rescue team hawataweza pekee yao but we welcome the efforts by the honorable governor...this city, once clean, will be very beautiful.. more than it already is...it already has a lot of global respect...i also want the campaign pics to be banned from some places...zinachoma jina sana...True ni kuchafu sana but lazima afanye wenyeji Nrb wabadili tabia pia huwezi weka malori ya takataka na personnel wa kazi bila ku-change tabia mbaya za watu .To clean up Nrb has to be an all inclusive effort.
Umeanzazisha thread ukaanza pia Ku comment mwenyewe. Unajitekenya na kucheka mwenyewe. Pili sahau kwa mji wowote EA kuufikia Kigali kutokana na huo mji kuwa mdogo sana. Wilaya ya Ilala tu hapa Dar nikubwa kwa Kigali. Kigali kwa miguu unatembea unaimaliza CBD kwa hiyo nirahisi sana kufanya usafi. Huwezi linganisha Kigali hata na Kampala. Inaonekana hujawahi fika Kigali.
Hahahaa. Tulia sindano ikuingie. Ukiona nimetia guu langu kwenye forum jua na evidence na source za kutisha. I don't talk brah brah kamanie na cooked figures.Pia kuhusu screenshots ungeanza kwanza naalie leta thread kwani pia katumia screenshots. Hatuna muda wakusubilia hadi kitu ki download we care about our time. Screenshot saves a lot pia MB zetu hazitumiki hovyo ku download mambo ya ku proof ujinga kama huu mnaotwambia. With that said wewe ndo Mkora number 1. Alafu huo usafi wakisiasa hauna tija. Angalia watu wanaofanya usafi wamevaa T-shirt za Jubilee that means hamja shugulisha jamii nzima. Its only in Kenya where thieves are elected back into leadership. Eti Sonko!!View attachment 567846
Hii mambo ya Sonko rescue team kusafisha ma-posters inaudhi sana.Why do we let campaign teams deface the city ,stick posters anywhere halafu kusafisha ni kazi ya Sonko pekee yake? All those candidates should be made to clean up or be fined heavilly.yeah hii ni kazi nyingi....yeye na Rescue team hawataweza pekee yao but we welcome the efforts by the honorable governor...this city, once clean, will be very beautiful.. more than it already is...it already has a lot of global respect...i also want the campaign pics to be banned from some places...zinachoma jina sana...
Kuna gora flani la watz kama kina anneal hapa jf hua nawa avoid kabisa manake sijui kama huwa ni maksudi wanajifanya hawaelewi au ni tu hawana uwezo wa kuelewa.... Sijui kama we ni mmoja wao,???Usinifanye nicheke. Pili tunatoa hoja kwa sababu mnataka kutudanganya. Acheni uwongo humu tumesha sema.
List ya miji 39 michafu Africa iliyotolewa na World Health Organizatio (WHO) 2017. Africa mashariki Uganda Kampala nafasi ya 5, Tanzania Morogoro nafasi 33, Kenya Nairobi 35. Kwa hi list inaonyesha Dar es salaam haipo kabisa. Sikunyingine msilete cooked info humu. Hapo wameweka miji yote Africa kinara akiwa Nigeria kwa uchafu. Hamia Niger forum.
Ina bidi kwanza mfanye usafi muipite hiyo miji mingine before you even think of Dar es salaam. Hahaaaaa. WHOView attachment 567789 Next time msitulete ndoto humu. Those are dreams.
Wewe ulisharogwa, huwa unakera mpaka kwenye mapumbu.