Nairobi The Cleanest city in Africa!!...wow

Nairobi haitoshani kama hio fishing village ya Dar. Malori mbili hayawezi tosha Nairobi.
Sasa hivi kuna 'modern' trucks lakini machache.
Inaongezwa pole pole. Priority ni kuondoa uchafu urgently.
Dar ndio inayoongoza kwa usafi imeipita Nairobi according to WHO
 
Leta hiyo ripoti ya who. Leta tu. Bora isiwe ile ya Millard ayo au Mchuzi blogg.

Nai kwa uchaff haizidi Dar, manake Dar imeorodheshwa among the filthiest in the world.
Sasa Nairobi mbona ndio makapurwa sugu wa East Africa Dar ipo juu yenu thousands
 
Acha kupangia watu cha kupost hujamnunulia mtu bando
 
Nairobi slid so much backwards that Sonko may need like 2 years returning it to Gakuo era. All the best
 
kwani huu uzi ulikuwa wa comparison kati nai na dar is slum tena
 
Nairobi slid so much backwards that Sonko may need like 2 years returning it to Gakuo era. All the best
Mimi niliona dalili zamani kua Nairobi ita-slide nyuma wakati niliona Kidero anaingiliwa sana na chama chake kwa kukosa mikutano yao mingi ya kisiasa.Service delivery to taxpayers was 2nd to their interests.

Nairobi inahitaji jamaa mwenye kiboko kubwa Muchuki style .Na sio tuache juhidi kwa usafi tu pekee we need to instill a maintanance culture na pia better planning & organization bila wachuuzi kila sehemu ya barabara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…