Nairobi tops Africa peers in mall space

Nairobi tops Africa peers in mall space

Japo this tusan guy ni nafuu kidogo, huchanganya changanya, kuna wakati anatiririka pumba mtupu, lakini wakati mwengine anakua na mambo yenye tija.

Lakini kuna wengine kutwa kuponda Kenya kwa kila kitu na cha kushangaza hutawaona sehemu yoyote JF kwenye mada za Kitanzania. Walau akina barbarossa utamwona leo ameibukia mada za Kenya baadaye utamwona kule kwa siasa na taarifa za Bongo akijadili na Watanzania wenzake.

Wale hukomaa na Kenya huwa naona kuna kitu kiliwatendekea kwetu, aidha walifukuzwa Kenya wakaishia kuwa na majungu miaka yote. Lazima kuna kitu maana sio kawaida. Yaani hutomkuta hata siku moja anajadili matukio ya kwao na kwa jinsi yalivyo mengi siku hizi ya akina Roma Mkatoliki, Gwajima, Dai, Bashite n.k. Hutawaona huko hata siku moja, lakini wacha Kenya itajwe kwa lolote, wanatiririka kama nzi.
bora wewe unamtaja Gwajima mwanzo wa wiki wenzio waliingia cha kike kumtaja gwajima weekend na wanajua kabisa jumapili ni siku gwajima atasema hadi kama kuna siku ulibaka kuku kwa kificho
 

Attachments

  • Screenshot_20170408-155621.png
    Screenshot_20170408-155621.png
    50.4 KB · Views: 35
  • Screenshot_20170410-100857.png
    Screenshot_20170410-100857.png
    22.1 KB · Views: 35
bora wewe unamtaja Gwajima mwanzo wa wiki wenzio waliingia cha kike kumtaja gwajima weekend na wanajua kabisa jumapili ni siku gwajima atasema hadi kama kuna siku ulibaka kuku kwa kificho
huyu nae anajishau kipitiliza....
 
ndugu...hii 23m we unaionaje?yani tukichanganya Africa nzima tuko 3 but hao wako 20....let me be a doubting thomas
yeah that figure is very questionable.....ati the whole of africa is just 3...20 below them...very questionable
 
Iv wakenya wa kaskazin wananunua vitu kwenye hizo mall!?
 
bora wewe unamtaja Gwajima mwanzo wa wiki wenzio waliingia cha kike kumtaja gwajima weekend na wanajua kabisa jumapili ni siku gwajima atasema hadi kama kuna siku ulibaka kuku kwa kificho

Nimecheka sana, hapo ilibidi Diamond awe mpole na kujikomba komba kwa Gwajima maana sindano yake ilikua inaanza kuandaliwa, ilimbidi aombe msamaha mapema. Hivi huyo mchungaji Gwajima naona ni balaa sana huyo jamaa, hadi Bashite akaishia kulia machozi.
 
Nimecheka sana, hapo ilibidi Diamond awe mpole na kujikomba komba kwa Gwajima maana sindano yake ilikua inaanza kuandaliwa, ilimbidi aombe msamaha mapema. Hivi huyo mchungaji Gwajima naona ni balaa sana huyo jamaa, hadi Bashite akaishia kulia machozi.
gwajima ndio habari ya mjini, we kama umesahau maovu yako hata kama ulifanya miaka 20 iliyopta. mchokoze gwajima.kwakifupi kama umesahau tarehe yako ya kuzaliwa na kijiji ulichozaliwa endelea kumtajataja uncle gwajey
 
na ndio maana nikasema itabidi waafrika tuamke... besides, i think hapa wameongeza those estates that are inside malls...23 million sq metres doesnt sound right at all....there are certain malls where they also build a small estate inside the parameters of the mall...that would obviously add those sq metres...
In that you are right. Not that the all area is mall. They build estate then inside they put mall
 
haina haja ya kutembea tanzania ili nione malls kwani sijawahi tembea South Africa but ndio hio nishajua kuna 23 million sq metres...the point is that when something good happens in tanzania, we will most certainly here abt it without having to travel to see....and i have not herd any malls worth mentioning in tanzania...apart from dar, all otheer areas of ur country are villages...very backward...where do u expect to see these thousands of sq metres from?
Ni jambo dogo kuelewa kuwa retail business huendeshwa na life style ya watu... yaani you cant invest in a market which doesnt pose higher returns on the investment such as in Tz...

Mimi naanzaje kutoka kwangu niende kwenye supermarket wakati local markets na shops kibao zinanipa mahitaji kwa ukaribu zaidi. Watanzania wengi bado tupo traditional and we have a little faith in processed agricultural products ... nitanunuaje nyama ya kopo wakati naipata iliyo bora zaidi bila preservatives...

subsistence economy nayooo.... most people eat what they produce from farms so as to deduct costs of living...
Dar ni kama kenya tu ,inalishwa na regions nyinginezo

Alafu karibu Tz Uione arusha,mwanza, dodoma,morogoro, iringa,mbeya,tanga,kilimanjaro ili ujue kuwa big towns and cities may exist without being highly westernized...

HONGERA KWA HILI PIA
 
Very soon the mall investors will realise there is no future in mall business in Africa. Mall idea came back in 50's were companies were trying to give a customer relief of doing all his/her shopping in one place (there we're no any other way to shopping those days). But kwa siku za leo especially in Africa where we've opportunity to utilize digital age than any other place in the world, mall are becoming obsolete. You can deliver anything to the costumer now days. From food, cloth, household good, even latest movies can be delivered via streaming.

Another things is modern day security, kuweka watu 500 - 1000 in one place ni risky and expensive if you take insurance into consideration. West Gate Mall inaweza kutokea mahali popote na wakati wowote. I truly believe matajiri waliojenga mall soon wataanza kufikiria upya biashara yao, maybe turning malls into homes or something else. Wachina hivyo hivyo back in 90's and 2000 walijenga malls nyingi sana, nowdays hizo malls zimekuwa ghost towns. Service delivery in China has pick up very dramatically, in China watu wanaoshop online are 3x more than wanaoenda madukani and the number is growing kutokana na cheap smartphones.
 
Back
Top Bottom