Sehemu ikisha kuwa na miundombinu mizuri (developed) wawekezaji pia huwa wanavutika kuwekeza sehemu hiyo. Hivyo hope in the near future hizo nyumba zianaweza zisiwepo zikajengwa za kisasa kabisa. Maendeleo huwa ni hatua moja baada ya nyingine (one step ahead).