Nairobi vs Dar es Salaam:Interchanges

Nairobi vs Dar es Salaam:Interchanges

Ubungo Interchange.jpeg
 
hivi vijumba hapa vinadumaza potentials za hii sehemu! nina uhakika atatokea mtu atawanunua hawa jamaa aweke mall ya kufa mtu!
Sehemu ikisha kuwa na miundombinu mizuri (developed) wawekezaji pia huwa wanavutika kuwekeza sehemu hiyo. Hivyo hope in the near future hizo nyumba zianaweza zisiwepo zikajengwa za kisasa kabisa. Maendeleo huwa ni hatua moja baada ya nyingine (one step ahead).
 
Back
Top Bottom