Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
It's a flyover! Najua!TAZARA siyo interchange
Sent using Huawei P10 Plus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's a flyover! Najua!TAZARA siyo interchange
Sent using Huawei P10 Plus
Ndo unavyojidanganya???Na usisahau Nairobi una magari mara tatu ya Dar.
hivi vijumba hapa vinadumaza potentials za hii sehemu! nina uhakika atatokea mtu atawanunua hawa jamaa aweke mall ya kufa mtu!
Sehemu ikisha kuwa na miundombinu mizuri (developed) wawekezaji pia huwa wanavutika kuwekeza sehemu hiyo. Hivyo hope in the near future hizo nyumba zianaweza zisiwepo zikajengwa za kisasa kabisa. Maendeleo huwa ni hatua moja baada ya nyingine (one step ahead).hivi vijumba hapa vinadumaza potentials za hii sehemu! nina uhakika atatokea mtu atawanunua hawa jamaa aweke mall ya kufa mtu!