Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Eti kisumu is kisumu a city hehehhehe acheni vituko hahhhhhhahahh 😀😀😀😀😀😀😀
 
Tena zanzibar iacheni kuna project moja inajengwa inaitwa amber resort hotel Ambayo cost yake ni 1 billion USD heheh wanafukia bahari kueka hio hotel yani balaa itakua one of the luxury and biggest hotel in Africa hahhahahahha

Fungua thread twende kazi hahahahahhaha unajifnya muongeaji sana twende kazi hahahhahahhahaahhaha
Nlianisha Eldoret mwanza wacha niifufue na ujue Eldoret kuna bonge la jengo..26 floors sijui utaitafuta wapi hiyo..naifufua sai
 
Nlianisha Eldoret mwanza wacha niifufue na ujue Eldoret kuna bonge la jengo..26 floors sijui utaitafuta wapi hiyo..naifufua sai
Itafute twende kazi hakuna shida maneno mengi yanini naisubiria
 
Ila Tanzania inaendelea mweeh magorofa kwa sisi tunaoishi bongo utazania uyoga , ma mall sasa utazani sifa daah , Tanzania is a promising future!!
 
Ujue wakenya wanapewa propaganda kuhusu bongo wakati hawajafika hilo ni tatizo, ila sisi watz tubadikike sasa tuwe aggressive kujitangaza mana wakenya tumewazidi vitu vingi lakini wanatake advantage kwa kuzubaa kwetu tubadilike
 
Kenya is nothing but colonialist regacy , and it is about time the giant of east Africa tz is going to take what it deserve for so long just wait and see!!
 
Ujue wakenya wanapewa propaganda kuhusu bongo wakati hawajafika hilo ni tatizo, ila sisi watz tubadikike sasa tuwe aggressive kujitangaza mana wakenya tumewazidi vitu vingi lakini wanatake advantage kwa kuzubaa kwetu tubadilike
Yani ukubwa wa bongo wachuku nairobi mombasa na kisumu bado hawaingii ndani mm nakwambia hehehheheheh yani bongo watu wanajengea sifa hahhahhahah
 
Tanzania is blessed, unity, food, security, legacy on neighbours, and beauty hahahah( Mimi naamini after Rwanda in eac kwa warembo inakuja bongo)
 
Alafu kuna sehemu inaitwa mafia island hehehhehehhe 😀😀😀😀😀😀😀
Thanda island  heheheheheh yani huko hapashkiki 😀😀😀 unaeza sema uko dunia nyingine
 
Thanda island hio 😀😀😀😀😀
One of the expensive private island hotel in the world😀😀😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…